Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 7,248
- 12,974
- Thread starter
- #61
Naam. Mh Hasheem Rungwe aliona mbali 😀😀Sera yetu hiyo Chauma(wali ndondo)
Naam. Mh Hasheem Rungwe aliona mbali 😀😀Sera yetu hiyo Chauma(wali ndondo)
Pamoja sana mkuu.🤝Wakati naandika nilikua nakula wali maharage
Na nakumbuka wakati niko rika lile la baba kaleta siku akileta maharage iyo furaha hapo home haielezeki
Ila pole sana mkuu
Hiki chakula hakiishi hamu. Ukila wali nyama siku mbili hamu inaisha lakini siyo wali maharage. Mimi napendelea hasa yawe yale makubwa, mekundu na mboga ya majani kwa pembeni.Aliyegundua hii combo aendelee kubarikiwa, mama alikuwa anashangaa nikitoka shule(boarding) chakula nachotaka kupikiwa kwanza ni wali maharage wakati miezi yote mitatu wakati wa shule ni maharage kwenda mbele.
Nikija kuoa sheria ni mke wangu ahakikishe hiki chakula kinapikwa si chini ya mara mbili kwa week. Bora uninyime nyama asee ila sio wali maharage
The Mongolian Savage kumbe ushatoka kifungoni (Un banned) na husemi?
Am back maameeThe Mongolian Savage kumbe ushatoka kifungoni (Un banned) na husemi?
Achana na zile N de A, zitakuponza.
Ila huu Hauna radha nzuri ni sawa na WA kwa mama ntilie...labda picha ya mwisho unaonelana balaa
Sasa The Mongolian Savage atapewa Ban kwa uchizi wake mwingine, sitaki ateseke nataka huyu mwehu aendelee kubaki.The Mongolian Savage kumbe ushatoka kifungoni (Un banned) na husemi?
Achana na zile N de A, zitakuponza.
Punguza tamaa bro😂😆Hii combo iwe kiporo afu upate na chai ya Rangi
Sawaa ni umaskini ila hiyo combo sitokuja kuiacha😂
Bro shida nini kwan bwana misosi😃😃Punguza tamaa bro😂😆
Kaka asubui nime piga heavy weight, menu ya kuvunjia mawe halafu nika ishia kuangalia series 😆😂Bro shida nini kwan bwana misosi😃😃
Misosi itakuua kaka😃😃😃Kaka asubui nime piga heavy weight, menu ya kuvunjia mawe halafu nika ishia kuangalia series 😆😂
Ukiongezea hapo parachichi na mboga za majani,hapo Ni murwaaaa
NaamUkiongezea hapo parachichi na mboga za majani,hapo Ni murwaaaa
Wali maharage na fanta orange is better than chips yai 🥰
Chai ya rangi ikolee mchai chai na tangawizi 🤣👌Fanta orangechai ya rangi/ mchaichai