Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 7,248
- 12,976
- Thread starter
- #41
Wali maharageKwani ajenda ya Post hii ni nini!
Wali maharageKwani ajenda ya Post hii ni nini!
Nilikua naitafuta hii comment😀Wali ndondo, hasa kiwe kipolo na chai ya rangi,
Yaan ni humu tyuuh 😋😋😋😋
Ushaipata sasa, woiiih 😂😂😂😂Nilikua naitafuta hii comment😀
Akili hii kamwe haiwezi kuondoa tanzania kwenye umasikini
🤣🤣 usicomplicate vituAkili hii kamwe haiwezi kuondoa tanzania kwenye umasikini
MhhNikiyaona tu maharage nahisi kutapika muda huo huo.
Ndiyo mboga namba moja ambayo sijawahi kuielewa tangu utotoni.
Kwahiyo unaishi nchi gani ambayo haina maharage?Nikiyaona tu maharage nahisi kutapika muda huo huo.
Ndiyo mboga namba moja ambayo sijawahi kuielewa tangu utotoni.
Kiufupi najitahidi sana hata nisiyaone tu maana napata kichefuchefu kikali mno.Kwahiyo unaishi nchi gani ambayo haina maharage?
Ndiyo hivyo mkuu nimejikuta tu tangu utotoni siyapendi kabisa hata kuyaona tu.
Bado hujawa mtoto we ukiwa mtoto utaacha.Nikiyaona tu maharage nahisi kutapika muda huo huo.
Ndiyo mboga namba moja ambayo sijawahi kuielewa tangu utotoni.
Hakika wali bila maharagwe ni matumizi mabaya ya mchele
Ni kama mimi nikiona mayaiKiufupi najitahidi sana hata nisiyaone tu maana napata kichefuchefu kikali mno.
Siwezi kula mkuu sijui nina changamoto gani ipo hivyo tu.
Umeandika nini mkuu?Bado hujawa mtoto we ukiwa mtoto utaacha.
Yah, si unaona sasa mkuu tunavyotofautiana.Ni kama mimi nikiona mayai
Wakati naandika nilikua nakula wali maharageUmeandika nini mkuu?