Karim Mussa
Member
- May 6, 2019
- 25
- 7
kifungu cha 326 (1) cha Kanuni ya Adhabu [Sura ya 16 R.E 2023]. Chini ya kifungu hiki upande wa Mashtaka au tuseme mlalamikaji anatakiwa kuthibitisha yafuatayo;
i. Kwamba mtuhumiwa alikuwa ameharibu au kuharibu mali.
ii. Mali hiyo iliyoharibiwa au kuharibiwa ni mali ya mtu mwingine.
iii. Kwamba uharibifu ulikuwa wa makusudi na kinyume cha sheria
Ili mtuhumiwa awe na hatia, inatakiwa kuthibitisha viungo hivyo vya kosa.
Haya ni Maamuzi katika Kesi ya Tryphone Jeremiah vs Ufoo Rogate Sawe (PC Criminal Appeal 13 of 2020) [2020] TZHC 4697. Tiganga, J.