Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 7,248
- 12,974
- Thread starter
- #21
Na mimi nijaribu na Fanta 😃Wali maharage na fanta orange is better than chips yai 🥰
Na mimi nijaribu na Fanta 😃Wali maharage na fanta orange is better than chips yai 🥰
Mimi nakulaga ule ugali wa Abigail chams wa blueband na chumvi burger na sausage sizijui...🤣mliozoea burger na sausage mtashangaa parachichi ni kama booster kwenye msos
Unaweza kula wali maharage na dompo? We ukiweza utakuwa mchawi 😩Dah! hata kama unatafuta mume ndo usingizie unakunywa fanta kweli ili tukuone binti mpole...
hii hapana bhana!🤣
🤣🤣Ndo nyie mnaongoza kwa kujamba.Na ushuzi wenu unaweza kuleta kifafa kwa mbu usiku
anhaa! ipo hivi dompo ni red wine na red wine mara nyingi huwa tunakunywa baada ya kula sanasana vyakula aina ya nyama!.Unaweza kula wali maharage na dompo? We ukiweza utakuwa mchawi 😩
Ugali na maharage ni mazoezi ya kuwa mfungwa jela😁👌
Mleta uzi lazima ana swaumu huyu ukiwa na njaa unawaza misosi tu 😁😁
asubui una pasha maharage na chai tu😁Wali maharage na fanta orange is better than chips yai 🥰
🤣🤣🙌Mleta uzi lazima ana swaumu huyu ukiwa na njaa unawaza misosi tu 😁😁
Staple food ya jela hio 😀Ugali na maharage ni mazoezi ya kuwa mfungwa jela😁👌
Una uhakika gani kuwa chakula hicho kimeiva vizuri.BICHWA KOMWE - kupika hivyo unaweza au ndio umewaachia wenzio?
Does it matter?Una uhakika gani kuwa chakula hicho kimeiva vizuri.
🤣🤣Hii combo iwe kiporo afu upate na chai ya Rangi
Sawaa ni umaskini ila hiyo combo sitokuja kuiacha😂
😀😀😀Kiporo Yake Huwaga Na Balaa Mnoo Ukiipata Na Chai Ya Rangi Au Maziwa Freshi Mamaaeee..!!
Kwani ajenda ya Post hii ni nini!Does it matter?