Jeiefu
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 781
- 1,580
Shangaa na weweHivi mnafikiri tuna enjoy sex baada ya kipigo?
Shangaa na weweHivi mnafikiri tuna enjoy sex baada ya kipigo?
Pombe ikizidi ni janga, serikali inapata mikodi wake wanapata mateso.Mjomba Fujo hii ya ulevi inakera, unakuta kodi ya nyumba haijalipwa mke ametoka kumbe mbele za baba mwenye nyumba alafu jitu linarudi limelewa
Teh teh..Na unavyopenda sasa..Basi mtafutie adhabu nyingineKichwa chake cha chini kisumbufu. Atanitoboa toboa nacho hadi nivue mwenyew
Ooouh... Sawa sawaJitahidi kuzuia
Tuna visasi mno usoni mnajua tumesamehe lkn moyoni ni chuki kali mno
Hadi nimeona aibuMi nimeambiwa nitapigwa na u.boo tu
Na baada ya hasira upendo unarudi vile vile.....Kuna jirani zangu mke alikuwa anapigwa mpaka damu inavilia usoni, alikuwa anapiga simu polisi mume anakuja kuchukuliwa asubuhi dada anawahi mapema polisi ku drop charges
Unajisikiaje unapompiga mke wako, mama wa watoto wako na watoto wanakuona? Bila haya na usiku unaomba match.
Karibuni
Mi nimeambiwa nitapigwa na u.boo tu
Usitudanganye yani utotoni hujuwahi chapwa?Sijawahi kupigwa na wazazi wangu wala mume wangu
Kuna jirani zangu mke alikuwa anapigwa mpaka damu inavilia usoni, alikuwa anapiga simu polisi mume anakuja kuchukuliwa asubuhi dada anawahi mapema polisi ku drop charges