hahaaa..sasa mbona unahoji wao kupigwa !? wajua binaadamu tunatofautiana sana aina ya makuzi"" ""najua tangu uende USA umeshasahau desturi za watu wa kwatumbo...kuna watu wanavisa aisee"" acha Wawe wanapigana tu""Kuna watu wamejaliwa mdomo bwana
pole sana..ila mimi huwaga sipigi "" ukinikera kosa ambalo haliwezi kuvumilika..na potea om kwa muda wa week""Kuna wanaume wana asili ya kupiga hao kikosa kidogoo mama...ngumiiii
Wengine wanawake wenyewe wanasababisha wapigwe wana midomoooo na wanaume hawapendi midomo midomo
hapa wazisemea nafsi za wenzio ..mbon kuna baadhi na wajua ..wasipopigwa lazima watafute chokochoko ..ili wapigwe mabanzi kidogo""" ndio wanajiona kuwa kweli wapo na mwanaumeJitahidi kuzuia
Tuna visasi mno usoni mnajua tumesamehe lkn moyoni ni chuki kali mno
Mh basi nasemea nafsi yanguhapa wazisemea nafsi za wenzio ..mbon kuna baadhi na wajua ..wasipopigwa lazima watafute chokochoko ..ili wapigwe mabanzi kidogo""" ndio wanajiona kuwa kweli wapo na mwanaume
Majaribu hayatoki kwa Mungu soma Yak 1:5-12Ukiona mtu anakupiga ujue anakupenda na anaumia sana na ujinga unaoufanya.
Hata watu wa dini husema mungu huwapa wapendwa wake majaribu kama ishara ya kuwarejesha wamjue na kumuabudu yeye.
Baba ndio kichwa cha familia, hata akiwa hoi kitandani provided ana utimamu wa akili lazma maamuzi yake yaheshimiwe kama kichwa cha familia.Kipigo kwa mke ni udhalilishaji mkubwa sana
Inapunguza upendo kwa mpigwaji kitu ambacho hupelekea mke kuanza kuchepuka na akishaanza hivyo kumrudisha sahau kabisa
Hujenga chuki kichwani kwa mkeo huwa sisi ni wakimya lkn tunatunza sana hasira utamuona anakuchekea na kukusamehe lkn ndani yake ana chuki kali sana hata yale maombi aliyokuwa akikesha kwa ajili yako ktk utafutaji huisha kabisa na hapo mume ategemee kukwama tu huko kazini
Acheni kupiga wake zenu ni vibaya vibaya kuliko
Kwa makabila mengine ni utamaduni wa kawaida tu, we mwanamke anapika chakula alafu kwa makusudi aweki chumvi hata kidogo. Hapo anatuma ujumbe kuwa anataka kipigo, au anaenda kisimani masaa manne, lazima aguswe kidogo.Unampiga mtu ambae hana nguvu za kukurudishia kipigo
Una acha kula kesho hatarudiaKwa makabila mengine ni utamaduni wa kawaida tu, we mwanamke anapika chakula alafu kwa makusudi aweki chumvi hata kidogo. Hapo anatuma ujumbe kuwa anataka kipigo, au anaenda kisimani masaa manne, lazima aguswe kidogo.
upigaji uwe kwa mke au mtoto ni ushezi na ukatili kwa kiwango cha juu,nikipewa Urais wa siku moja ,ikifika saa 4asubuhi nitakuwa nimesha piga marufuku corpral punishments kutumika nchini,adhabu hii inatuharibia Taifa ,inatuletea generations ya wenye hasira,visasi na wanaoamini mwafaka unapatikana kwa nguvu sio maongezi,taaluma yangu ni Mwalimu kila ninapokutana na mwanafunzi wangu aliyepitia mikononi mwangu ninamwomba radhi kama nilishawahi kumwadhibu kwa viboko,binafsi hii adhabu ilikuwa nadra sana kuitumia,UPENDO NDIO SILAHA KUU,Ukiamka asubuhi ni vema ukamtamkia uliye lala naye kuwa unampenda na hivyo hivyo kwa watoto,eye contact ni muhimu ili kuonyesha kuwa kweli u mean it.Unajisikiaje unapompiga mke wako, mama wa watoto wako na watoto wanakuona? Bila haya na usiku unaomba match.
Karibuni
Wanafanya makusudi kwani wakiwa kisimani huwa wanulizana kama wanapigwa na waume zao, asiyepigwa uambiwa hapendwi. Ingawa pia kuna wanaume wana hulka ya kupiga piga pasipo sababu. Kuna jamaa yangu alimzuia mke wake asisuke rasta kwa ajili ya pasaka, mke akakaidi aliporudi jamaa alingo'a zile rasta kwa mikono mke akaishia hospital na mtuhumiwa akatoroka pasipojulikana. Mwingine aliambiwa mke wake anacheat akamfata kisimani akamfunga kamba akaingiza udongo sehemu za siri akisukuma kwa pampu ya mkono ya baiskeli, mke akakata roho. Ukweli kupiga wanawake ni zilipendwa na mara nyingi sababu ni za kitoto sana.Una acha kula kesho hatarudia
Aisee hapo umeongea ukweli,labda nikuchanganulie zaidi ME ni wa Type kuu 2.Kuna wanaume wana asili ya kupiga hao kikosa kidogoo mama...ngumiiii
Wengine wanawake wenyewe wanasababisha wapigwe wana midomoooo na wanaume hawapendi midomo midomo
mnakubali kupigwa nyie......Unampiga mtu ambae hana nguvu za kukurudishia kipigo
AiseeeSijawahi kupigwa na wazazi wangu wala mume wangu