Wale wa muvi tamtam tuje huku

Wale wa muvi tamtam tuje huku

Nikaja mbio nikijua unazungumzia Xxxn,
aaaah!

Movie bora kwangu of all the time ni Coming to Amerca ya Eddy Murphy
Zingine
Think like a Man too
John Wick 1&2
Abduction
Original sin
The great Wall
Home alone zote
Pirates zote
Thor zote
The perfect match
BlackBird
Bird Box

Series,
Boys Over Flower (korean)
Personal Taste (korean)
The 100
Teen Wolf (my fav)
Into the badland
Secret circle
Spartacus
Rome
spartacus unakua unaangalia porno tu, Mkuu unaipendea nn?
 
Nami naona nikazitafute movie hizo naona ni za ukweli,kwa mitazamo yenu wakuu
 
Kama umeshindwa kuielewa story ya Spartacus basi kuna mawili lugha ngumu au unapenda minjunjuano.... Lol.
mimi niliangalia nikashindwa sababu ya scene nyingi za ngono, hafu scene za ushoga zimejaa.nikaamua kuifuta. Sasa mm na wwe nani anaependa minjunjuano?:
 
mimi niliangalia nikashindwa sababu ya scene nyingi za ngono, hafu scene za ushoga zimejaa.nikaamua kuifuta. Sasa mm na wwe nani anaependa minjunjuano?:
Mimi napenda story, ukiangalia historical movies nyingi sana lazima kuwe na hiyo unayoita porn, lakini wewe angalia story hiyo minjunjuano unapeleka mbele.

Suala la ushoga lipo sio tu hollywood hadi korean industry kaitafute movie inaitwa Frozen Flower.
 
Back
Top Bottom