Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,311
- 46,839
Sio mchezo hii movieNight come for us....hii movie ukiiangalia lazima utetemeka
Sio mchezo hii movieNight come for us....hii movie ukiiangalia lazima utetemeka
Acha kichesha watu bana[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]Jumba la dhahabu
Kitandani halafu action mmmh wenye akili tumekuelewaKuna movie moja nimeisahau jina. Ila waigizaji ni wawili tu, mwanamke na mwanaume, na wameigizia kitandani. Ile movie kali sana. Na vile vile haina maneno mengi, full action.
Dah hyo three idiots inakunbusha kitambo xana wao silencer mzee wa kukariri
konki haswaaaaaTHE EXAMS.....hii movie no konki faya
Baba hii ni balaaaThe pursuit of happiness
Night come for us....hii movie ukiiangalia lazima utetemeka