Wale wa muvi tamtam tuje huku

Wale wa muvi tamtam tuje huku

mwenye muvi ya Captain marvel anishtue
Unajua kuwa ukigoogle "Thanos" kwa google chrome au mozilla kwenye Pc halafu ukabonyeza ile glove yake maneno yote kwenye google search yanafutika kama decimation alofanya thanos!?..🙂

Ila kama unaweza kaangalie cinema Endgame, Tony kafa, cap america alinyanyua nyundo ya Thor na Falcon is a new black cap america!.
 
The giant, morim school, ariana, ant man, teen wolf, american oddsey sijui why haikuendelezwa tena hii, three idiots
 
Mimi napenda story, ukiangalia historical movies nyingi sana lazima kuwe na hiyo unayoita porn, lakini wewe angalia story hiyo minjunjuano unapeleka mbele.

Suala la ushoga lipo sio tu hollywood hadi korean industry kaitafute movie inaitwa Frozen Flower.
Umenikumbusha mbali ulivyoitaja frozen flower kwa jina lingine protector aiseeh ina kasheshe hii kitu
 
Umenikumbusha mbali ulivyoitaja frozen flower kwa jina lingine protector aiseeh ina kasheshe hii kitu
Niliiangalia youtube nilibaki mdomo wazi,
ila nasikia sasa hivi kuna vipande wanavifuta maana ilikua sio poa.
 
Mimi napenda story, ukiangalia historical movies nyingi sana lazima kuwe na hiyo unayoita porn, lakini wewe angalia story hiyo minjunjuano unapeleka mbele.

Suala la ushoga lipo sio tu hollywood hadi korean industry kaitafute movie inaitwa Frozen Flower.
: poa ila ngoja niitafute niiweke niiangalie siku zijazo:.
 
yeyote ambaye anataka GoT season ya 8 episode 1&2. mzigo upo mb zako
 
Kuna movie moja nimeisahau jina. Ila waigizaji ni wawili tu, mwanamke na mwanaume, na wameigizia kitandani. Ile movie kali sana. Na vile vile haina maneno mengi, full action.
Action gan sasa na wapo wa2 tuu [emoji20]
 
Wrong turn,walking dead,the nun,the conjuring.na enjoy sana asee.bila kusahau nightmare in elm street 1&2.😎😎😎😎
 
Lost, legend of the seeker, prison break, 24, nikita, grimm, fringe, the blacklist, empire, human interest, human target, transpoter, last ship,desginated survivor,strike back
Dah ngoja nkumbuke zingne af apo mpyampya cjaztaja
 
Wrong turn,walking dead,the nun,the conjuring.na enjoy sana asee.bila kusahau nightmare in elm street 1&2.[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Mkuu naona unapenda horror.... Tafuta na Siccin 1-4 .. Aise ni nzuri alafu zipo youtube pia unaweza kutafuta yenye subtitle maana wanaongea turkish
 
Back
Top Bottom