Wale wa muvi tamtam tuje huku

Wale wa muvi tamtam tuje huku

Behind the enermy line..good kill..kill ratio,the exams,what happen to sunday
 
Kuna movie moja nimeisahau jina. Ila waigizaji ni wawili tu, mwanamke na mwanaume, na wameigizia kitandani. Ile movie kali sana. Na vile vile haina maneno mengi, full action.
 
Ni ya ngumi au ya kivita Mrs Van[emoji848]
Ina vita kiasi chake ina genre ya swashbuckler wale wa mapanga zaid. Zaidi ni issue ya usaliti. Ni movie nzuri sana kwangu vile storyline yake walivyokua wameiweka.
Aliigiza Leonardo DiCaprio
 
Anhaaa...
Ina vita kiasi chake ina genre ya swashbuckler wale wa mapanga zaid. Zaidi ni issue ya usaliti. Ni movie nzuri sana kwangu vile storyline yake walivyokua wameiweka.
Aliigiza Leonardo DiCaprio
Sawa sawa, huyo Jamaa ni Muigizaji mzuri sana lkn huwa napenda sana muvi za ngumi na martial arts, karate & comfuu zisizotumia mapanga.
 
Nikaja mbio nikijua unazungumzia Xxxn,
aaaah!

Movie bora kwangu of all the time ni Coming to Amerca ya Eddy Murphy
Zingine
Think like a Man too
John Wick 1&2
Abduction
Original sin
The great Wall
Home alone zote
Pirates zote
Thor zote
The perfect match
BlackBird
Bird Box

Series,
Boys Over Flower (korean)
Personal Taste (korean)
The 100
Teen Wolf (my fav)
Into the badland
Secret circle
Spartacus
Rome
 
Back
Top Bottom