Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,078
- 126,184
Kweli kabisa usemalo mkuu. Pia Hongera sana kwa kuipataSuccess happens when opportunity meets readiness. Ndio maana nilifanikiwa kuipata
Kweli kabisa usemalo mkuu. Pia Hongera sana kwa kuipataSuccess happens when opportunity meets readiness. Ndio maana nilifanikiwa kuipata
Aisee nimeona bwana mtoa mada mbunifu sana ila sioni shida kutoa namba kama mtu anajiaminiHahhah inahitaji akili ya ziada inaonekana mm naww hatuna
Hahaaaaaa duuh, haya bhana[emoji3] [emoji3][emoji85] [emoji85] [emoji85]
Mie thina thimu. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Naogopa kukupa tarehe.
Hahaaaa. Kama ni mie nakwambia leta simu niandike halafu ndio naiandika halafu ukianza kuirudia nakwambia usihofu ndio hiyo hiyo niliyoandika sijaikosea.Kwa sababu ni namba ya uongo na yye unakuta hajaikariri vizur hivyo anashndwa ku maintain uongo.
Hahahaaa. Aiseee!Hahaaaaaa duuh, haya bhana[emoji3] [emoji3]
Inahitaji uwe na angalau na diploma ya kusema uongo aiseeehHahaaaa. Kama ni mie nakwambia leta simu niandike halafu ndio naiandika halafu ukianza kuirudia nakwambia usihofu ndio hiyo hiyo niliyoandika sijaikosea.
AhahahaaaaaaUnaomba namba ya
simu ya mdada halafu
anakunyima ila
unalazimisha akupe
anaona kuliko
muendelee kuongea bora tu akupe
anakutajia 0712012018
unafuraahi unaondoka
unafika nyumbani
unajaribu kuipiga but
kabla hujapiga unagundua alikutajia
tarehe ya leo.
Wadada acheni hizo
Hahaaaa nami nimekutega makusudi, nilijua lazima ucheke upende usipendeHahahaaaa. Jamaani. Lol.
Nimejikuta nacheka tu kwa ulichoandika.
Hahaaa! Nimecheka sana uongo ni kipaji ujue.Inahitaji uwe na angalau na diploma ya kusema uongo aiseeeh
Hahaaa. Haya bana. Ahsante kwa kunichekesha.Hahaaaa nami nimekutega makusudi, nilijua lazima ucheke upende usipende
Niko buheri wa afya kabisaaa, thanks God, nakusoma tu unavyotiririka mapointHahahaaa. Aiseee!
Mzima lakini?
Mimi binafsi tuki meet in person siwez kudanganya ila kwenye simu nakudanganya vizur tu if necessaryHahaaa! Nimecheka sana uongo ni kipaji ujue.
[emoji85] [emoji85] duuh. Shukrani sana.Niko buheri wa afya kabisaaa, thanks God, nakusoma tu unavyotiririka mapoint
Hiyo ya kukutana inategemea na aina ya ukutanaji sio ile eti tumekaa siti moja kwenye daladala halafu unaomba namba hapo lazima tarehe ikuhusu. [emoji85].Mimi binafsi tuki meet in person siwez kudanganya ila kwenye simu nakudanganya vizur tu if necessary
Hajahajahahhahah hatareeeeeeHiyo ya kukutana inategemea na aina ya ukutanaji sio ile eti tumekaa siti moja kwenye daladala halafu unaomba namba hapo lazima tarehe ikuhusu. [emoji85].
Hahahaaaa.
Umewaza mbali sana mzeeKwenye iyo iyo namba fake, unaweza pata demu mkali kuliko aliyekupa namba, tena sealed.
Hahaa. Lakini salama Mkuu.Hajahajahahhahah hatareeeeee
Salama kwa kweliHahaa. Lakini salama Mkuu.
Ya jumamosi itakuwa 0714012018kesho si ni tarehe 13? Ko kesho ni tigo ya 13 (0713) hahahha
Ngoja Tuwakomeshe