Wale wa kupenda kupewa pewa namba za simu

Wale wa kupenda kupewa pewa namba za simu

koncho77

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
7,800
Reaction score
10,433
Unaomba namba ya
simu ya mdada halafu
anakunyima ila
unalazimisha akupe
anaona kuliko
muendelee kuongea bora tu akupe
anakutajia 0712012018
unafuraahi unaondoka
unafika nyumbani
unajaribu kuipiga but
kabla hujapiga unagundua alikutajia
tarehe ya leo.
Wadada acheni hizo
 
Unaomba namba ya
simu ya mdada halafu
anakunyima ila
unalazimisha akupe
anaona kuliko
muendelee kuongea bora tu akupe
anakutajia 0712012018
unafuraahi unaondoka
unafika nyumbani
unajaribu kuipiga but
kabla hujapiga unagundua alikutajia
tarehe ya leo.
Wadada acheni hizo
Hahaha umepatkana utamu mkuu
 
Unaomba namba ya
simu ya mdada halafu
anakunyima ila
unalazimisha akupe
anaona kuliko
muendelee kuongea bora tu akupe
anakutajia 0712012018
unafuraahi unaondoka
unafika nyumbani
unajaribu kuipiga but
kabla hujapiga unagundua alikutajia
tarehe ya leo.
Wadada acheni hizo
Hii style yako ya kuandika tarehe, kiboko!
 
Nyie wadada mnapishana na bahati sasa hivi..
Mkifikisha miaka 30+ tunaanza kuwaona nyumba za ibada mkitaka kuombewa mpate mume kumbe mume ulimnyima namba ukiwa na miaka 25..

[HASHTAG]#KILA[/HASHTAG] MMOJA APAMBANE NA HALI YAKE
 
Mtu akikutajia namba ya simu. Ilirudie kwa kumtajia kabla hamjaachana. Kama ni namba ya uongo lazima hakutajie namba sahihi bila kujijua.

Thank me later.
 
Nyie wadada mnapishana na bahati sasa hivi..
Mkifikisha miaka 30+ tunaanza kuwaona nyumba za ibada mkitaka kuombewa mpate mume kumbe mume ulimnyima namba ukiwa na miaka 25..

[HASHTAG]#KILA[/HASHTAG] MMOJA APAMBANE NA HALI YAKE
Mbona nasikia wanasema kuolewa sio deal.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom