Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,499
- 18,358
Wanaombaomba inawahusuHaya Mkuu nikutakie jioni njema.
Ila ndio mjiandae kupokea tarehe badala ya namba. Hahahaaa.
Wanaombaomba inawahusuHaya Mkuu nikutakie jioni njema.
Ila ndio mjiandae kupokea tarehe badala ya namba. Hahahaaa.
Kweli kabisa ndugu.Hii ya kuuliza uko wapi inawakosti wengi sana
We huwa huombi eeee. [emoji12]Wanaombaomba inawahusu
Hadi tuzoeane au kuwa na sababu inayoshawshi kuomba namba wakat huo huoWe huwa huombi eeee. [emoji12]
Mi sinaga madhara kiivyo naamini nikiomba namba nitapewa ile yenyeweHiyo ya kukutana inategemea na aina ya ukutanaji sio ile eti tumekaa siti moja kwenye daladala halafu unaomba namba hapo lazima tarehe ikuhusu. [emoji85].
Hahahaaaa.
Hayo ndio maneno nadhani wale waombaji wa leo leo kukutana na leo leo kuomba namba wamekuelewa hapa.Hadi tuzoeane au kuwa na sababu inayoshawshi kuomba namba wakat huo huo
Unamkomeshakesho si ni tarehe 13? Ko kesho ni tigo ya 13 (0713) hahahha
Ngoja Tuwakomeshe
Busara muhimu kuweza kupata nambaHayo ndio maneno nadhani wale waombaji wa leo leo kukutana na leo leo kuomba namba wamekuelewa hapa.
Sababu wengi tarehe zitawahusu.
Hahahaaaa. Hapo jicho la tatu litahusika swahiba.Mi sinaga madhara kiivyo naamini nikiomba namba nitapewa ile yenyewe
Kweli kabisa na ukiwa nayo wala hutumii nguvu na maneno mengi we unajikuta tu unapewa au unaambiwa lete simu niandike kama yule wako Dreka.Busara muhimu kuweza kupata namba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Utatumia utaalamu wako kunitathimini kwanzaHahahaaaa. Hapo jicho la tatu litahusika swahiba.
Ewaaaa! Mpaka nijiridhishe kwamba huna madhara. Hahahaaaa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Utatumia utaalamu wako kunitathimini kwanza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wala usijali ukiniita hivyo najiskia burudaniEwaaaa! Mpaka nijiridhishe kwamba huna madhara. Hahahaaaa.
We Mshipa weweeeee. (Nimecheka sana duu wakati naandika hilo neno)
Nizowee napenda tu utani swahiba.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Haya bana swahiba.[emoji23] [emoji23] [emoji23] wala usijali ukiniita hivyo najiskia burudani
[emoji106] [emoji106] [emoji106][emoji2] [emoji2] [emoji2] Haya bana swahiba.
[emoji120] [emoji120] [emoji120][emoji106] [emoji106] [emoji106]
Bora nimekuona naomba namba zako PMHiyo tarehe iko wapi sasa hapo?