Wale wa kupenda kupewa pewa namba za simu

Wale wa kupenda kupewa pewa namba za simu

Nyie wadada mnapishana na bahati sasa hivi..
Mkifikisha miaka 30+ tunaanza kuwaona nyumba za ibada mkitaka kuombewa mpate mume kumbe mume ulimnyima namba ukiwa na miaka 25..

[HASHTAG]#KILA[/HASHTAG] MMOJA APAMBANE NA HALI YAKE
Hahaaa. Ila sio wote wanaopewa tarehe Mkuu hizi ni special kwa wale wasioeleweka na bila kuwasahau wale ving'ang'nizi.
 
Hahaaaa. Mie sina line ya Voda nina ya tigo tu. 0712 012018

Hahahahaaaa. Ila we mjanja sana aisee sababu voda inaanzia 075 na kuendelea huku mwezi una siku 30 lol.
Hahahahahaah


Umenikumbusha kuna bint aliwah kukataa kunitajia hata jina lake achilia mbali kupewa namba. Cha ajabu saa hizi ndio ninachat nae mara kwa mara.
 
Wakat ananinyima alikuwa chuo. Baada ya kumaliza nikaipata bila shida

Madhara kutokuwepo anatambua vip
Hahahaaa. Amekuona ulivyoisotea ndio sababu akakumbuka kale ka usema ka "atafutaye hachoki"

Hivyo akajiamulia kukupa kiroho safi sababu kama alikuwa chuo mpaka kumaliza ni zaidi ya miaka miwili.

Hata kama ni mie ndani ya miaka miwili unasotea namba tu inabidi nikupe tu aiseee. Hahahaaaa.
 
Hahahaaa. Amekuona ulivyoisotea ndio sababu akakumbuka kale ka usema ka "atafutaye hachoki"

Hivyo akajiamulia kukupa kiroho safi sababu kama alikuwa chuo mpaka kumaliza ni zaidi ya miaka miwili.

Sababu hata kama ni mie ndani ya miaka miwili unasotea namba tu inabidi nikupe tu aiseee. Hahahaaaa.
Hapana
mimi niltangulia kumaliza. So tukapotezana like a year ndio tukaja kuonana tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom