Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,033
- 27,391
Sasa wewe ndio urahisishe mambo. Kwa nini tuhangaike muda wote huoHahaaaa. Usije ukaishia njiani tu Mkuu.
Ila yataka moyo ujue sababu mwaka mzima unasote tarakimu 10 tu. lol.
Sasa wewe ndio urahisishe mambo. Kwa nini tuhangaike muda wote huoHahaaaa. Usije ukaishia njiani tu Mkuu.
Ila yataka moyo ujue sababu mwaka mzima unasote tarakimu 10 tu. lol.
Hahahaaaa. Kurahisisha ndio huku tunawapa tarehe za miaka ya kuzaliwa.Sasa wewe ndio urahisishe mambo. Kwa nini tuhangaike muda wote huo
Yeeeereeeuwi..!! Hapo mnatukomoa sasa. Mi ukinipa lazima nipige mda huo. Ukisema simu imezima nakupa powerbank tuiboost fasta.Hahahaaaa. Kurahisisha ndio huku tunawapa tarehe za miaka ya kuzaliwa.
Hahahaa. Saa nyingine kupewa namba inakuwa hujategemea sasa ikiwa hivyo sidhani hata kama utakumbuka yote hayo zaidi ya kumwambia nisave jina gani.Yeeeereeeuwi..!! Hapo mnatukomoa sasa. Mi ukinipa lazima nipige mda huo. Ukisema simu imezima nakupa powerbank tuiboost fasta.
Weee Emmy unaleta mchezo, naanzaje kusahau sasa.? Niko makini na kaziHahahaa. Saa nyingine kupewa namba inakuwa hujategemea sasa ikiwa hivyo sidhani hata kama utakumbuka yote hayo zaidi ya kumwambia nisave jina gani.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hongera zako rafiki.Weee Emmy unaleta mchezo, naanzaje kusahau sasa.? Niko makini na kazi
Mungu anakuona we haya!![emoji15][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hivyo tuanze tu kuwapa tarehe hadi za miaka ya kuzaliwa ikibidi sababu huwa wanaombaomba sana namba.
Hahahaaaa.
Hahahaaa. Duuh.Mungu anakuona we haya!![emoji15]
Toa namba za ukweli ukiombwa sw[emoji127]Hahahaaa. Duuh.
Hahahaaa. Usijali kaka, mie kama mie sijawahi mpa mtu namba ya uongo niwe tu mkweli.Toa namba za ukweli ukiombwa sw[emoji127]
Hapo sawa ubarikiwe sana emmyta[emoji120]Hahahaaa. Usijali kaka, mie kama mie sijawahi mpa mtu namba ya uongo niwe tu mkweli.
Kama sijisikii kumpa mtu namba nitatafuta tu lugha ambayo ye mwenyewe akiwaza kwa undani ndio atajua sina dhamira ya kumpa namba lakini sio kumpa namba hewa.
Duuh. Sina simu kwa sasa ila nikishainunua basi namba nitakupitishia huko ulikosema. [emoji12]Hapo sawa ubarikiwe sana emmyta[emoji120]
Kwa mfano me naomba namba zako xx em tuma nione kule [emoji395]
Kwn xx hv unatumia nn hapo[emoji41]Duuh. Sina simu kwa sasa ila nikishainunua basi namba nitakupitishia huko ulikosema. [emoji12]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Kwn xx hv unatumia nn hapo[emoji41]