mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,403
- 23,201
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukiniita hivyo kila siku nitakusumbua huko sirini na usivyopenda usumbufuHahahaaaa. Inabidi niwe nakuita kila siku aiseee.
Kwanza mie nina kawaida yaani mtu nimekutana naye leo halafu leo leo anahitaji namba siwezi mpa hata siku moja mpaka nikuzowee na katika kukuzowea kuna baadhi ya vitu naviangalia. [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2].