Wale wa kupenda kupewa pewa namba za simu

Wale wa kupenda kupewa pewa namba za simu

Hahaha kumuangalia mtu na ukajua kuwa ana madhara au hana ni utaalamu swahiba.
Sema swahiba unavyoniitaga sasa unanikosha kweli basi tu
Hahahaaaa. Inabidi niwe nakuita kila siku aiseee.


Kwanza mie nina kawaida yaani mtu nimekutana naye leo halafu leo leo anahitaji namba siwezi mpa hata siku moja mpaka nikuzowee na katika kukuzowea kuna baadhi ya vitu naviangalia. [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2].
 
Ukijaribu kupiga utaambiwa Namba sio sahihi hapo ndio chanzo cha kumwambia umenipa tarehe ya leo
Hahahaaaa. Mpaka mawazo yaje kwamba ni tarehe ya leo sio rahisi. Yahitaji ujanja wa hali ya juu.

Pia napata shaka katika hizi tarehe huenda ikawa kuna namba zinafanana unaweza piga na ikaita vilevile ila mwisho wa siku unayempigia sio uliyemdhamiria.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom