Wale wa kupenda kupewa pewa namba za simu

Umewaza mbali sana mzee
Sema hiyo za kukosea inataka ujanja aisee sababu dunia yenyewe hii watu wasiojulikana wamejaa kila sehemu hivyo anaweza mpigia mtu akiona akuelewi elewi simu anaikata na mwingine hapokei tena.

Na kwa miaka ya sasa ni wachache wenye kukubali porojo kutoka kwa mtu asiyemjua.
 
Ni kweli kabisa

Mimi huwa napokea halafu nasikiliza saut kwanza
 
Hahaaa. Huwa kikawaida sauti zetu zina ushawishi. [emoji85]

Hivyo mdada akikosea namba ni ngumu sana kukatiwa simu cha zaidi utasikia kwani we uko wapi? Hahahaaaa
Upo sahihi

Japo kuna wengine wana saut ngumu kama men
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom