swank
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 748
- 1,043
0712012018[emoji12] [emoji12]Bora nimekuona naomba namba zako PM
0712012018[emoji12] [emoji12]Bora nimekuona naomba namba zako PM
Kwani hapo ndio PM???Umekiuka hizo sizichukui0712012018[emoji12] [emoji12]
Ahhaha huna shida wwKwani hapo ndio PM???Umekiuka hizo sizichukui
Hamna, you deserve it[emoji85] [emoji85] duuh. Shukrani sana.
Ila hizi sifa zinamzidi emmy ujue.
Nafurahi kusikia uko poa.
Kuna mafisi watazichukua kidogo ingekuwa PM ningefikira kuzinote downAhhaha huna shida ww
Umechapia, hujui kutunga uongo, sema tukufundishe. Hata kama umegeuza tarehe zisomwe kinyumenyume, tarehe haiwezi kuwa na tarakimu 10. Hiyo ni namba ya tigo ingawa inafanana na tarehe zako. Yaelekea wewe ni mmojawapo wa waliogushi vyeti.Unaomba namba ya
simu ya mdada halafu
anakunyima ila
unalazimisha akupe
anaona kuliko
muendelee kuongea bora tu akupe
anakutajia 0712012018
unafuraahi unaondoka
unafika nyumbani
unajaribu kuipiga but
kabla hujapiga unagundua alikutajia
tarehe ya leo.
Wadada acheni hizo
Hahahahaaaa.
Hahahaa. Mie sina simu ujue. [emoji85]Nitumie PM sio hapa.
Hahahaa. Mie sina simu ujue. [emoji85]
Hahahaa. Haya bana.Ata ya mama sio mbaya, nikitaka kukusalimia napitia kwake [emoji851]
Hahahaa. Haya bana.
Hahaaa.. Mkuu ngoja na mi nianze kuisotea yako sa ivi. Nina imani ndani ya mwaka mmoja utanionea hurumaHahahaaa. Amekuona ulivyoisotea ndio sababu akakumbuka kale ka usema ka "atafutaye hachoki"
Hivyo akajiamulia kukupa kiroho safi sababu kama alikuwa chuo mpaka kumaliza ni zaidi ya miaka miwili.
Hata kama ni mie ndani ya miaka miwili unasotea namba tu inabidi nikupe tu aiseee. Hahahaaaa.
Hahaaaa. Usije ukaishia njiani tu Mkuu.Hahaaa.. Mkuu ngoja na mi nianze kuisotea yako sa ivi. Nina imani ndani ya mwaka mmoja utanionea huruma