Mwanza
wakiweka VAT itakua sh ngapi?
mkuu hebu tuambie ukweli ni 32 tu au ni lugha ya kibiashara zaidi!!View attachment 72629View attachment 72629naelekea mwanza kikazi bei chee
Watu wa Uchumi, hiyo kitu is it economical viable?
Mi najaribu kufanya mahesabu yangu hapa technically but....mhhhh!
Naomba mnisaidie aina (specs) za hiyo ndege nizidi kukokotoa revenue against expenditure.
Maana bado sijaelewa hizi gharama nani anazilipa.
ni kweli bei ni 32 elf tu pamoja na vat ushindwe wewe ila watu kibao ukichelewa kama unataka safili utaambiwa subili januaari na leo ndo wamezindua safari lasmi mkuumkuu hebu tuambie ukweli ni 32 tu au ni lugha ya kibiashara zaidi!!
wakiweka VAT itakua sh ngapi?
vat ni asilimia kumi ya bei kwa hiyo no tsh 3200 ukijumlisha ni tsh 35400 bado ni bei ndogo kuliko greeen star zitakuwepo dar arusha kweli,