Wale wa fastjet safari hiyo inaanza byeee!!

Wale wa fastjet safari hiyo inaanza byeee!!

Acha uongo mkuu, safari ni kuanzia tarehe 29, na ndio uznduzi!

Vyombo vya habari vyoote vitaarifiwa!

Lakini hongera kwa prom
 
vat ni asilimia kumi ya bei kwa hiyo no tsh 3200 ukijumlisha ni tsh 35400 bado ni bei ndogo kuliko greeen star zitakuwepo dar arusha kweli,

Hiyo VAT ya "asilimia kumi" siyo ukweli, kiwango cha VAT Tanzania ni 18%. Usipotoshe jamii.
 
aiseeeeeeee babaangu lazi nije dar kwa ndege naomba ritz,mzee wa rura,petra,kongosha,kin kong,mshumbizi.na zomba mje kunipokea airport
 
vat ni asilimia kumi ya bei kwa hiyo no tsh 3200 ukijumlisha ni tsh 35400 bado ni bei ndogo kuliko greeen star zitakuwepo dar arusha kweli,

Naona ume confuse vat na teni pasenti. Vat ni asilimia 18
 
Ngoja niikatie tiketi yangu mapemaaa sitaki kuchelewa kwa hili,baada ya kuongea nao wamesema ukiongeza vati ni Tsh 43000 tu.
 
Acha uongo mkuu, safari ni kuanzia tarehe 29, na ndio uznduzi!

Vyombo vya habari vyoote vitaarifiwa!

Lakini hongera kwa prom
ha kumbe we muandiashi wa habari nyie mnayakwenu basi ha!ha!pole sana ila sisi ndo tushaizindua nyie subilini ya kwenu iko nairobi
 
Msisahau kuongeza na vat hapo. Hyo 32000 haijalipiwa vat.

Hata ukiongeza VAT ambayo ni (18/100x32,000) + 32,000 bado huifikii bei ya Precision ambayo haipungui 200,000/= single route
 
Promo hiyo, mwisho tar 22.12.2012. Baada ya hapo ni 380,000 mwz-JNIA-Mwz
 
aiseeeeeeee babaangu lazi nije dar kwa ndege naomba ritz,mzee wa rura,petra,kongosha,kin kong,mshumbizi.na zomba mje kunipokea airport

Mkuu wa Rombo, hiyo ndege ina bei tatu tofauti ofa ya 45000 itaisha ni ya muda tu. Nasikia vinywaji unajinunulia na chakula.
 
Acha uongo mkuu, safari ni kuanzia tarehe 29, na ndio uznduzi!

Vyombo vya habari vyoote vitaarifiwa!

Lakini hongera kwa prom
Iko hewani tayari. Jumapili nimepokea mgeni hapa Mwanza akitokea Dar kwa kutumia ndege hiyo hiyo kwa bei hiyo hiyo. Nafikiri hiyo tarehe unayoitaja itakuwa ni uzinduzi rasmi. Lakini nathibitisha kuwa operation wameshaanza muda sasa. Tembelea ofisi yao kama upo Arusha, Dar au Mwanza watakuambia.
 
48000

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Kazi kweli kweli, hapa nimekubali hesabu ni gonjwa la kitaifa.
VAT 18% ya Sh.32,000.00 ni sh.5,760.00

Kwahiyo gharama ya safari ikiwa na VAT ni sh.37,760.00
 
Haya nendeni hapo mjaribu kufanya booking muone bei maana kuna watu wanadhani bei ni tsh 32,000. Kumbuka kuna VAT na mambo mengine ambayo yanaambatana na ticketi. http://booking.fastjet.com/VARS/Public/PassengerPaymentDetails.aspx

Shopping Basket <SCRIPT type=text/javascript>//<![CDATA[ShoppingBasket2 = { "IsBasketEmpty" : false, "UseBasket2" : true }; //]]></SCRIPT>[TABLE="class: BasketItemsTable"]
<TBODY>[TR="class: BasketPaxCountRow"]
[TD="class: BasketPaxCountColumn1"]No of Adults: [/TD]
[TD="class: BasketPaxCountColumn2"]1 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: BasketItineraryFlightDivider, colspan: 2"]
[/TD]
[/TR]
[TR="class: outboundFlight BasketItineraryItemRow"]
[TD="class: BasketItineraryItemColumn, colspan: 2"]Dar es Salaam to Mwanza (FN0163) [/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"]Departure: [/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"]29 Nov 15:00 [/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"]Arrival Time: [/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"]29 Nov 16:30 [/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"]Fare: [/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"]96,000 TZS [/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"]Taxes: [/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"]11,040 TZS [/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"]Total: [/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"]107,040 TZS [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: BasketItineraryFlightDivider, colspan: 2"]
[/TD]
[/TR]
[TR="class: inboundFlight BasketItineraryItemRow"]
[TD="class: BasketItineraryItemColumn, colspan: 2"]Mwanza to Dar es Salaam (FN0162) [/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"]Departure: [/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"]02 Dec 08:15 [/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"]Arrival Time: [/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"]02 Dec 09:45 [/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"]Fare: [/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"]48,000 TZS [/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"]Taxes: [/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"]11,040 TZS [/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"]Total: [/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"]59,040 TZS [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: BasketItineraryFlightDivider, colspan: 2"]
[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketBaseFareTotalPriceRow"]
[TD="class: BasketBaseFareTotalPriceColumn1"]Total fares and taxes: [/TD]
[TD="class: BasketBaseFareTotalPriceColumn2"]166,080 TZS [/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketBaseFareTotalPriceRow"]
[TD="class: BasketBaseFareTotalPriceColumn1"]Total Baggage: [/TD]
[TD="class: BasketBaseFareTotalPriceColumn2"]0 TZS [/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketGrandTotalRow"]
[TD="class: BasketGrandTotalColumn1, colspan: 2"][TABLE="class: BasketGrandTotalTab"]
<TBODY>[TR]
[TD="class: BasketGrandTotalCaption"]Total payable: [/TD]
[TD="class: BasketGrandTotalPrice"]166,080 TZS [/TD]
[/TR]
</TBODY>[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketCommandRow"]
[TD="class: BasketEmptyBasketCommandCell, colspan: 2"][/TD]
[/TR]
</TBODY>[/TABLE]
 
Kweli haya mambo ya usafiri ni ya kweli au ni yale unabuku unaambiwa jaribu mwakani wakati we ndo unataka kusafiri mwz 12, Basi tuwekane wazi kwani wengine utasikia wakidodosoa kuwa 72,000
 
wazushi yu hawa fastjet... hii wanafanya promotion ya campuni yao ambayo bado ni mpya kwa watanzania
 
Mbona kuna giza hivyo au camera yako uwezo mdogo...
 
Back
Top Bottom