Mvumbo
JF-Expert Member
- Aug 20, 2015
- 3,491
- 12,168
Kumbe safi kabisa
Wanaangalia muda wowote hakuna limit na mpaka asubuhi unakuta battery ipo 40%
Wanaangalia muda wowote hakuna limit na mpaka asubuhi unakuta battery ipo 40%
Japo siwafaham hao ila natumia solar betry ya Deja N200 na panel ya w100,, nimefunga mwenyewe, shangwe ninayopata sijutii. Huu mwaka wa 3
Leta vyombo utusaidie babaMsihangaike na hawa.
Kuna namna ya kufanya unatumia free all time
Hakuna kulipia
Wakuu wale tunaotumia mitambo ya Mobisol naomba tuelezane changamoto za hii mitambo ya solar.
Mimi nina mwaka na nusu natumia mtambo wa 120 watts ila mahitaji hayaendani na maneno yao ya mwanzo wanapo kuuzia na ukiwapigia simu kuhusu changamoto unazo kabiliana nazo wanakupa sababu za hovyo.
Habari moudy bext mbona mimi nina mtambo wa mobisol wa watts 120 na tv ya nch 24 na taa 6 na haujawai nisumbua na nimemaliza mkataba huu ni mwaka wa nne sasa?pengine matumizi yako yamezidi au battery yako imeisha nguvu na umejaribu kutembelea ofisi zao kwa sababu kama battery imeisha nguvu na umemaliza mkataba ukitembelea ofisi zao wanakukopesha battery ingne mpya either kwa cash au mkopo ni wewe mwenyewe kuamua.hawa jamaa wasanii sana pindi unapoelekea kumaliza mkataba wao mm mwanzoni ilikuwa poa 2 ila saiv nikiwasha tv (32) ata masa mawili haya ishi una lala giza na nikiwapigia simu wananiambia stop kufanya matumizi mtambo wako haujajaa na saiv nina wiki ya pili sija charge ata simu ila leo nawasha tv ata masaa 2 hayajaisha wanani2mia massage mtambo haujajaa acha kufanya matumiz
me naona wananifanyia usanii mkataba uishe nikanunue vifaa vingine
Kuna jirani yangu mmoja alitemper na mtambo wa mobiosl aisee hawa jamaa ni hatari wanatambua ukicheza na mtambo wao na walimdaka.Msihangaike na hawa.
Kuna namna ya kufanya unatumia free all time
Hakuna kulipia
Kuna sehemu nimejenga umeme haujafika KIBAHA natumia sola ya Zola Ina Tv 32" radio subwoofer, taa 10 sehemu ya kuchaji simu na taa
Hivi sasa ni mwaka 3 haina shida yoyote hata mvua inyeshe mawingu yashinde hakuna shida
mim nina mtambo wa 120 watts na battery 50ah kuhusu upande wa matuz ninatumia tv nch 32 na king'amuzi cha azam half taa 3 ambapo taa mbili zinawaka saa 1jion mpk saa nne nazima ila taa 1 ndio nafanya matumiz saa 1mpk saa 12 asbh basiHabari moudy bext mbona mimi nina mtambo wa mobisol wa watts 120 na tv ya nch 24 na taa 6 na haujawai nisumbua na nimemaliza mkataba huu ni mwaka wa nne sasa?pengine matumizi yako yamezidi au battery yako imeisha nguvu na umejaribu kutembelea ofisi zao kwa sababu kama battery imeisha nguvu na umemaliza mkataba ukitembelea ofisi zao wanakukopesha battery ingne mpya either kwa cash au mkopo ni wewe mwenyewe kuamua.
Unatumia kampuni gani?Habari moudy bext mbona mimi nina mtambo wa mobisol wa watts 120 na tv ya nch 24 na taa 6 na haujawai nisumbua na nimemaliza mkataba huu ni mwaka wa nne sasa?pengine matumizi yako yamezidi au battery yako imeisha nguvu na umejaribu kutembelea ofisi zao kwa sababu kama battery imeisha nguvu na umemaliza mkataba ukitembelea ofisi zao wanakukopesha battery ingne mpya either kwa cash au mkopo ni wewe mwenyewe kuamua.
Je unaupa mtambo wako mda wa kucharge mpaka ukajaa vizuri?mim nina mtambo wa 120 watts na battery 50ah kuhusu upande wa matuz ninatumia tv nch 32 na king'amuzi cha azam half taa 3 ambapo taa mbili zinawaka saa 1jion mpk saa nne nazima ila taa 1 ndio nafanya matumiz saa 1mpk saa 12 asbh basi
nakuhusu kuwafuata ofisi sijawa kuenda ila niliwapigia simu makao makuu wakatuma fundi akaja na akaniambia battery liko sawa halina shida sas me nabaki na question mark shida ni nn mkuu
Mimi natumia mtambo wa mobisolUnatumia kampuni gani?
kwa mud wa wiki mbili panel 120 haijazi 50ah?Je unaupa mtambo wako mda wa kucharge mpaka ukajaa vizuri?
kwa mud wa wiki mbili panel 120 haijazi 50ah?
mwazo ilikuwa poa ila saiv nina kama miezi 3 inasumbua na kila nikiwapigia simu wananiambia ni stop kufanya matumiz huu ni wiki ya pili ata simu si charge
Mitambo yenu ya Solar yenye tv unaweza kutumia deck na king'amuzi vya kawaida chini ya 15w?Mudy nimekushauri utoe namba ya mtambo, au mawasiliano hautaki kutoa taarifa kabisa.wala ushirikiano.
Kama hizi taarifa ni kweli ungetoa ushirikiano usaidiwe.
Kampuni ina nia ya kukusaidia.
Deck na king'amuzi unavyotumia ni hivi vya kawaida vya umeme wa ac?Habari moudy bext mbona mimi nina mtambo wa mobisol wa watts 120 na tv ya nch 24 na taa 6 na haujawai nisumbua na nimemaliza mkataba huu ni mwaka wa nne sasa?pengine matumizi yako yamezidi au battery yako imeisha nguvu na umejaribu kutembelea ofisi zao kwa sababu kama battery imeisha nguvu na umemaliza mkataba ukitembelea ofisi zao wanakukopesha battery ingne mpya either kwa cash au mkopo ni wewe mwenyewe kuamua.
Mudy nimekushauri utoe namba ya mtambo, au mawasiliano hautaki kutoa taarifa kabisa.wala ushirikiano.
Kama hizi taarifa ni kweli ungetoa ushirikiano usaidiwe.
Kampuni ina nia ya kukusaidia.
Mtego huo, make atajulikana ndo aliyekuja wadhalilisha hapa.Mudy nimekushauri utoe namba ya mtambo, au mawasiliano hautaki kutoa taarifa kabisa.wala ushirikiano.
Kama hizi taarifa ni kweli ungetoa ushirikiano usaidiwe.
Kampuni ina nia ya kukusaidia.