Wale tunaotumia mitambo ya solar ya Mobisol tukutane hapa

Wale tunaotumia mitambo ya solar ya Mobisol tukutane hapa

Mkuu umeme wa solar utaufurahia sana pindi betri ikiwa mpya ila ikikata mwaka utajikuta unaushia kuwasha taa tu. Mara nyingi betri ndio changamoto na hizo charger control za bei rahisi.
Charger control ikizingua tegemea betri yako kupungua uwezo wa kufanya kazi.
 
kwann battery liwe kubwa panel ndogo mkuu hiyo ni sahihi kitalaam
Mkuu ni vizuri betri ya solar kuwa kubwa kuliko solar ila uwiano uwe sahihi mfano mdau mwenye N200 kwa solar ya 100w angalau betri itakuwa na maisha marefu kuliko ingekuwa kinyume chake.
 
Mkuu ni vizuri betri ya solar kuwa kubwa kuliko solar ila uwiano uwe sahihi mfano mdau mwenye N200 kwa solar ya 100w angalau betri itakuwa na maisha marefu kuliko ingekuwa kinyume chake.
hapana sio sawa mkuu unajua battery hupelekea kufa pindi unapofanya matumizi pindi likiwa halija jaa nivizur matumiz yaka fanyika battery likiwa full charger ninacho maanisha hapa ni kwamba ili battery lako liweze kujaa mapema ata kuna mawingu kitalaam panel inatakiwa kuizidi battery ili battery lijae mapema na battery lako litakuwa na maisha marefu sana mimi nina miliki mitambo miwili ya mobisol kuna mtambo wa watts 200 na battery lake ni 150 lina mwaka wa 5 saiv bado liko sawa halijawahi kunisumbua hata kidg na matumizi ninayo fanya ni
*saluni mashine mbili za solar
*tv nchi 43 na king'amuzi cha azam
*subwoofer kubwa la solar
*taa 3 saloon za watts 2
*subwoofer ya kawaida dukani
*nacharge simu zisizo pungua 10 per day
na bado battery liko sawa mwaka wa 5 huu mkuu
ILA NIKO MAKINI SANA KUHAKIKISHA BATTERY LIJAE KWANZA NDIO NAANZA KULIFANYIA MATUMIZI
PIA EPUKA KUFANYA MATUMIZI MPAKA BATTERY LINAISHA KABISA CHAJI (0%) FANYA MATUMIZI BAKISHA MOTO KIASI KULIPA UHAI BATTERY
 
half
Mkuu ni vizuri betri ya solar kuwa kubwa kuliko solar ila uwiano uwe sahihi mfano mdau mwenye N200 kwa solar ya 100w angalau betri itakuwa na maisha marefu kuliko ingekuwa kinyume chake.
huu umeme mkuu unahitaj kisomo sana (calculation) zingatia sana hv vitu
*watts
*AH(ukubwa wa kitunza moto)
*size ya wire wa kushushia moto na wakusambazia pia
*controller kulingana na umeme wako
*hesabu ya vyombo ambayo vitatumika kwenye mtambo wako mfano unatumia battery la 80ah utake kuendesha fridge la watts 300(24hrs)
wazoefu wa hivi vi2 wataelewa ninacho
HUU UMEME UKIUFANYIA HESABU UTAKAA NAO HAUTATAMANI HAYA HIYO (REA) yao
 
Samahani kidogo wakuu, kama hawa mitambo yao inakuwa ina battery ndani kwa ndani hivyo huwezi kuiona...utajuaje size ya battery?
055d7d6e29cb30ee7b0ebce9f8d794a5.jpeg
 
Kuna sehemu nimejenga umeme haujafika KIBAHA natumia sola ya Zola Ina Tv 32" radio subwoofer, taa 10 sehemu ya kuchaji simu na taa
Hivi sasa ni mwaka 3 haina shida yoyote hata mvua inyeshe mawingu yashinde hakuna shida
Zipo vizuri ukilinganisha na hizi za mitaani uwa nawafungia wateja ving'amuzi maeneo ya vijijini
kwhyo ni mtambo mzr
 
HIV nikihitaji karedio kao kale ka FM napataje? Ni imara sana
 
Mkuu kwani ww ulitaka kutumia nini na nini
Wakuu wale tunaotumia mitambo ya Mobisol naomba tuelezane changamoto za hii mitambo ya solar.

Mimi nina mwaka na nusu natumia mtambo wa 120 watts ila mahitaji hayaendani na maneno yao ya mwanzo wanapo kuuzia na ukiwapigia simu kuhusu changamoto unazo kabiliana nazo wanakupa sababu za hovyo.
 
Mods. case zikiwa sorted kuwe na alert kuonyesha kuwa tatizo limetatuliwa kama ilivyo sold n.k....iteni, SORTED...SOLVED...nk
hii itawapa kampuni credit stahiki pia wenye case kama yake tutajua jinsi ya kutatua.
 
Back
Top Bottom