moudytz
Senior Member
- Sep 10, 2017
- 150
- 180
Wakuu wale tunaotumia mitambo ya Mobisol naomba tuelezane changamoto za hii mitambo ya solar.
Mimi nina mwaka na nusu natumia mtambo wa 120 watts ila mahitaji hayaendani na maneno yao ya mwanzo wanapo kuuzia na ukiwapigia simu kuhusu changamoto unazo kabiliana nazo wanakupa sababu za hovyo.