Hii ilikuwa mda mrefu kidogo, unaweza kutupa update za mwaka huu mkuu, kufika dubai unafika kwa gharama gani?Kama hujawahi kutoka nje ya nchi na unataka kuona dunia ya kwanza ikoje nenda Dubai. Gharama hazitishi na visa yake inapatikana kirahisi. Nauli kwenda na kurudi around $500, hotel siku 3/4 around $200, maana yake ukiwa na $1,000 unapata na pocket money $300.
Mkuu naomba nikitulia nikupe baadhi ya application na links ili uweze kufika moshi bila shida pia ni kwa gharama nafuu.Kweli kwenye miti hakuna wajenzi yaani hadi sasa hakuna ata aliyepost website yoyote kwa ajili ya booking Au ata maelezo ya kujitosheleza jinsi ya kufika hizo sehemu nzuri nzuri na gharama zake. Mkuu na mimi najichanga mwisho wa mwaka na familia kwenda Serengeti kutokea mwanza. Hivyo ukipata tour company wanaochukua local kwa bei nzuri unawezeshe mawasiliano na mimi. Asante
Sasa mkuu nianze kukuambia sehemu ambazo unaweza kupata view nzuri ya Mlima Kilimanjaro hata bila kuupanda.Kweli kwenye miti hakuna wajenzi yaani hadi sasa hakuna ata aliyepost website yoyote kwa ajili ya booking Au ata maelezo ya kujitosheleza jinsi ya kufika hizo sehemu nzuri nzuri na gharama zake. Mkuu na mimi najichanga mwisho wa mwaka na familia kwenda Serengeti kutokea mwanza. Hivyo ukipata tour company wanaochukua local kwa bei nzuri unawezeshe mawasiliano na mimi. Asante
Sasa mkuu nianze kukuambia sehemu ambazo unaweza kupata view nzuri ya Mlima Kilimanjaro hata bila kuupanda.Habari wadau,ninaplan ya kutembelea mlima kilimanjaro mwaka huu. Nitakuwa na familia so sidhan kama nitapanda mlima ila nataka kujua sehem gani nitaweza kuona mlima vizuri,sehemu yenye hotel au lodge nzuri na gharama nafuu na pia sehemu nitakayoweza kupiga selfie kali kali![]()
Sasa mkuu nianze kukuambia sehemu ambazo unaweza kupata view nzuri ya Mlima Kilimanjaro hata bila kuupanda.
1: Ni Selig Hotel, ukitoka Moshi Bus Stand unaweza shuka na baranara ya mbuyuni ukifika hapo mbuyuni washa google maps halafu search Selig Hotel kutokea hapo mbuyuni mpaka hotelini sio mbali sana.
Jinsi ya kuuona mlima sasa, utaamua wewe mwenyewe upande roof top ya hotel au ukae mazingira mazuri ambayo utafurahia kuona mlima, pia chagua na siku ambayo haina mawingu ili kupata experience nzuri.
2: Unaweza enda Arusha kwa mrombo kule ambapo ndio kunaanza kupata makazi ya watu, lakini kule ni mbali unaweza uona mlima kwa udogo halafu ukjiua kuotea na muda basi utakuwa umepiga BINGO.
3: Pia jaribu Kilimanjaro Safaris lodge, pale napo kuna view nzuri ya mlima kwa chini.
4: Mount Kilimanjaro View lodge.
Hizo kwa uchache unaweza endelea kutafuta, kwa gharama nikureclmmend application inaitwa HOSTEL WORLD, hii ni kwa ajili ya kulala huko kwenye app kuna Priavate room bei rafiki kabisa pia kuna hostels ambazo unaweza watenganisha watoto pamoja na nyie wazazi.
.
Ngoja nikusaidie kuuliza ntakuletea hapa mkuu, unataka usafiri wa gharama nafuu mpaka sehemu gani mkuu?Asante mzeebaba mimi sio mwenyeji wa moshi. Lakini mwaka huu mwanzoni nilikua moshi kwa mara ya kwanza nilifikia Kilimanjaro palace hotel ipo mjini kati. Ila lengo langu ni kupata kampuni za tours ambao wanabei rafiki kwa watanzania maana kulipa kama mtalii kutoka ulaya au America siwezi kwa kweli ingawa bei wanazolipa sizijui. Nikipata kampuni ina gharama za kila kitu usafari malazi na chakula siku tatu basi itakua vizuri. Msaada tafadhari kama unajua kampuni yoyote mkuu
Ngoja nikusaidie kuuliza ntakuletea hapa mkuu, unataka usafiri wa gharama nafuu mpaka sehemu gani mkuu?
Gharama ya chumba na mambo mengine ni bei gani..?Kuna kahotel kamoja kako Bagamoyo kanaitwa Firefly niliendaga na famikia Christmasmoja. Tulienjoy sana
Ukitaka kuiona tazama wimbo wa Marioo - Ifunanya wameshuti pale.
You have been to Namibia? Tell us more about it pleaseKuna Namibia kule kuna sehemu moja kuna jangwa sehemu ya pili bahari ni hatari
Eeeh anzia Arusha, alafu serengetiSerengeti tukianzia Arusha itakua poa sana. Maana kwa kuanzia mwanza naona kama haiwezekani
Sijawahi fika ila iko mwa wishlist zangu mkuuYou have been to Namibia? Tell us more about it please
Nitafanya namna nifike sasaSerengeti is next level wazee, a dream come true place
Utaona wanyama wengi kuliko sehemu yoyote dunianiTupe experience yako, mambo gani yapo huko ndani na sisi tufike mkuu
Mkuu, entrance fee ya 40k ni kubwa sana. Kuna package gani?View attachment 2611327
View attachment 2611328
View attachment 2611329
View attachment 2611330
View attachment 2611331
View attachment 2611332
Utengule Mbeya, ukifika mbalizi unaingia ndani kidogo......Kumejificha, kumetulia sana....ni sehemu Bomba sana ya Kurelax........entrace fee 40,000
Sawa mkuu tujipange sasa kuendaUtaona wanyama wengi kuliko sehemu yoyote duniani