Wale tunaopenda vacation, sehemu gani ya utalii Tanzania uliyofika au unatamani kufika?

Ni sehemu nyingi nimeenda na bado kuna nyingi sijaenda natamani kwenda

Lakini nimekumbuka nilivopanda Milima ya Udzungwa nilifika hadi kule Juu kwenye Sanje waterfalls

Natamani niupande Mlima Kilimanjaro hadi Juu kule Uhuru peak
 
Habari wadau,ninaplan ya kutembelea mlima kilimanjaro mwaka huu. Nitakuwa na familia so sidhan kama nitapanda mlima ila nataka kujua sehem gani nitaweza kuona mlima vizuri,sehemu yenye hotel au lodge nzuri na gharama nafuu na pia sehemu nitakayoweza kupiga selfie kali kali
 
Kweli kwenye miti hakuna wajenzi yaani hadi sasa hakuna ata aliyepost website yoyote kwa ajili ya booking Au ata maelezo ya kujitosheleza jinsi ya kufika hizo sehemu nzuri nzuri na gharama zake. Mkuu na mimi najichanga mwisho wa mwaka na familia kwenda Serengeti kutokea mwanza. Hivyo ukipata tour company wanaochukua local kwa bei nzuri unawezeshe mawasiliano na mimi. Asante
 
Ni sehemu nyingi nimeenda na bado kuna nyingi sijaenda natamani kwenda

Lakini nimekumbuka nilivopanda Milima ya Udzungwa nilifika hadi kule Juu kwenye Sanje waterfalls

Natamani niupande Mlima Kilimanjaro hadi Juu kule Uhuru peak
Kipindi unataka kupanda tuambie tukupe company mkuu
 
Back
Top Bottom