IPECACUANHA
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 3,230
- 1,925
Tambaza mali ya Agah Khan CommunityNdio pamoja na Tambaza, Azania zote hizi zilikuwa mali ya karmjee family.
Tambaza mali ya Agah Khan CommunityNdio pamoja na Tambaza, Azania zote hizi zilikuwa mali ya karmjee family.
Mmatumbi alikuwa saf kwenye geog2 hatarAisee, inabid one time tufanye kama get together hivi.
2011 tuliwaacha na sadani
Unakumbuma lile varangati la mwanetu wa cbg aliefariki kwa kuharisha? Watu tukakisanua ile mbayaaa, akaJa yule mamvi a.k.a Mmatumbiwatu wakaanza kupiga mawe juu ya bati jikon kule
Nimemis kuwahi Top![]()
Asee room ya A2 nilikuta machata yako ya Osama mtt kuna watu wapo second year saiv wakaw wananambia ulkuaga mbabe Sana ila namm nlivyokua tu roomleader nkafuta michata yako yoote na mm ndo nkawa mbabe pale so saiv madg nlowaacha wamekuta historia yang na machata yang now npo first yr chuo ila nakumbuka mpk cku za mwsho befor necta kwenye meza ya kusomea pale kla nikipiga misul miref ucku naona kuna jchata lako mzee *osama mtoto*mwaka 2010-2012 hususani form six walikuwa pcm wananiita osamamtoto nlikuwa complicator sana nlikuwa mkali wa kuchambua na kujibu hoja ngumu na nyepesi bila kupepesa macho mbele wala nyuma ila sinto sahau nlipokuwa 4m5 2010 usiku mvua ilinyesha alafu ikapga shoti watua acha tukimbie kuruka huku na kule jamaa akajikuta yupo nje ametoka na neti mwingne alishikwa na neti akabaki analia watu wanasepa yy akabaki kusema niachie niachie
Asee room ya A2 nilikuta machata yako ya Osama mtt kuna watu wapo second year saiv wakaw wananambia ulkuaga mbabe Sana ila namm nlivyokua tu roomleader nkafuta michata yako yoote na mm ndo nkawa mbabe pale so saiv madg nlowaacha wamekuta historia yang na machata yang now npo first yr chuo ila nakumbuka mpk cku za mwsho befor necta kwenye meza ya kusomea pale kla nikipiga misul miref ucku naona kuna jchata lako mzee *osama mtoto*[/Q
Ase A2 ilikuwa nishida nilijaza machata sana pale nlikuwa nawafundisha madogo nidhamu ila siyo mbaya ase ila mm chuo memaliza mwaka jana ilikuwa miaka 4
Mkwizu hajawahi endesha baiskeli ya alikuwa anatumia daladala lakini sijui alikuwa anateremkia wapi akishafunnga geti ile asubuhi mpaka walimu wanabaki nje,Kisinza ndo alikuwa na baiskeli badae akahamia kwenye pikipiki ( lengo ni kufaniksha ).Haya bana classmate 2009. Mr. Kisinza Hostel master. Pia nakumbuka tukio la wanafunzi wa kiislam CBG kutaka kumuua mwl GS kwa ajili kusema vibaya mtume wao. Mkwizu Mkuu aliyekuwa anatumia usafiri wa baiskeli kutoka usagara mpaka sahare
Mkwizu alitoaga amri walimu wote wanyoe ndevu lakini pale alishindwa . Kuna yule Teacher alikuwa anapenda sana kuita watu mamba wee ,ukisikia hivyo kaa mkao.Dah kitambo sana nimkumbuka jamaa yule Salimu hivi yupo pande za wapi?
Yule anaeita wanafunzi barubaru na huwa anauzaga kashataMkwizu alitoaga amri walimu wote wanyoe ndevu lakini pale alishindwa . Kuna yule Teacher alikuwa anapenda sana kuita watu mamba wee ,ukisikia hivyo kaa mkao.
[QUOTE="Daaaah sitasahau 2013 tukiwa form five tuna wiki moja tumefika xul, aisee mkesha wa pasaka, watu tulitotoroka aisee Headmaster Saadan alipiga roll call wazee tulipigwa suspension week 3 japo ndo tulikuwa tuna wiki moja 2
[QUOTE="Daaaah sitasahau 2013 tukiwa form five tuna wiki moja tumefika xul, aisee mkesha wa pasaka, watu tulitotoroka aisee Headmaster Saadan alipiga roll call wazee tulipigwa suspension week 3 japo ndo tulikuwa tuna wiki moja 2
HuyohuyoYule anaeita wanafunzi barubaru na huwa anauzaga kashata
Yule anaeita wanafunzi barubaru na huwa anauzaga kashata
Ile LORI ilikua inaviziwa ikitokea geti la nyuma Kule wachelewaji wanapita shortcut...Hahaaa long time aisee kambi ya fidifosi ilihamia pake skul,
Ila hapo kwa mkwizu umempa maujiko sana mzee alikuwa mkoloni yule alikuwa anatembea kwa mguu, akiingia yeye tu geti lina fungwa,
Akipata wito wa kikao anatumia LORI la shule na lilikuwa haliwaki hadi darasa moja litolewe mkalisukume.
Kweli usagara sitakusahau...
Wewe kweli umesoma Usagara sec.?Shule iliyosifika kwa elimu.Iliyokuwa mwanzo ikiitwa Karimjee Sec.School.Na hujui kuandika kwa kufuata kanuni za uandishi.Mwaka 2009 ; form six USA sec .nakumbuka sanaa uck tunaenda kwenye baikoko .kula maharage yenye top layer n.k pia majina ya hostel kama annex .thinker California uwanja kama old Trafford na venue yakusomea mzimuni unasoma huku unapiga chabo watoto kutoka mkwakwan old tanga coastal wanasubr daladala pale nje na ukichoka basii unachil Uhuru park Na unazungukia mitaa ya library bila kusahau jmos kwenda kusomea novert na week end nyingine kujitusha disco rakasachikaa.all in all usagara imenitoa na ndo inanipa jeur kwa mtaa na mm ni mtu kat ya watu
Kwa bahat mbaya taratibu za uandish sizijui sabb sijasoma fasihi andish sijui viunganish vipelelez n.k kwahyo sio kosa langu hata ningeandika kiinglish grammar ningekosea tu na sijilaumu kwa hiloWewe kweli umesoma Usagara sec.?Shule iliyosifika kwa elimu.Iliyokuwa mwanzo ikiitwa Karimjee Sec.School.Na hujui kuandika kwa kufuata kanuni za uandishi.
Kweli elimu imeshuka,ikiwa shule hii iliyokuwa ikisifika,dunia nzima kwa elimu bora,inatoa wanafunzi wa namna yako.
Hii shule ilijengwa na Abdallah Karimjee,mhindi na kuitoa kwa serekali,pamoja na uwanja wa michezo,uliopo karibu na shule hiyo.
Aiseee Mwl alitufundisha Physics kidogo then akatusaidia na GS kimtindo ila alikuwa na story sana,Mkwizu alikuwa hamchokozi na alikuwa anaratiba zake tofauti na walimu wote wa A/level. Msalimie sanaMiaka kama 2004 paka 2008 mzee wangu alikuwa hapo kama mwalimu A level mwalimu kirumbuyo