babadullah
JF-Expert Member
- Feb 21, 2017
- 508
- 320
Mzee hasan kafa lini mana me nimemalza 2015 nkamuacha yu haiHahahaha.... Mnamkumbuka mlinzi yule Mzee Hassan (marehemu)
Mzee hasan kafa lini mana me nimemalza 2015 nkamuacha yu haiHahahaha.... Mnamkumbuka mlinzi yule Mzee Hassan (marehemu)
Alifeli kwa Mfaume( barobaro) na kwa sir Chundu wote wabaya sana wa kiswahili.Mkwizu alitoaga amri walimu wote wanyoe ndevu lakini pale alishindwa . Kuna yule Teacher alikuwa anapenda sana kuita watu mamba wee ,ukisikia hivyo kaa mkao.
cna kumbukumbu nzuri lkn nafikiri n 2015 mwishon au 2016 mwanzoni hiviMzee hasan kafa lini mana me nimemalza 2015 nkamuacha yu hai
Haaaah nalikumbuka sana, ila dah nilipiga baiskel njingi sana na wanangu wa Usagr kijijinWangapi wana kumbuka lile sakata la chata hili BROFUPI. Hiyo ilikuwa 2005 hili chata lilisumbua mno kuta za uss, maana liliandikwa hadi ofisi nyeti ikiwemo displin office.
Daah mzee Hassan mara ya mwisho nilikutana nae pale wakati tunapata mafunzo ya kuandikisha wapiga kura 2015Mzee hasan kafa lini mana me nimemalza 2015 nkamuacha yu hai
Hahahahaha Osama Mtoto. Umenikumbusha mbali sana man. Tena hiyo siku ya short ya umeme kuna jamaa alivunjika jino anaitwa Emmanuel Erasto(Kama sijakosea) mtu wa Mwanza.mwaka 2010-2012 hususani form six walikuwa pcm wananiita osamamtoto nlikuwa complicator sana nlikuwa mkali wa kuchambua na kujibu hoja ngumu na nyepesi bila kupepesa macho mbele wala nyuma ila sinto sahau nlipokuwa 4m5 2010 usiku mvua ilinyesha alafu ikapga shoti watua acha tukimbie kuruka huku na kule jamaa akajikuta yupo nje ametoka na neti mwingne alishikwa na neti akabaki analia watu wanasepa yy akabaki kusema niachie niachie
Hahaha labda alikuwa mtemi kwenye room lake. Ila kwengine hakuwa na utemi wowote zaidi ya kuwa mbishi na complicator.Asee room ya A2 nilikuta machata yako ya Osama mtt kuna watu wapo second year saiv wakaw wananambia ulkuaga mbabe Sana ila namm nlivyokua tu roomleader nkafuta michata yako yoote na mm ndo nkawa mbabe pale so saiv madg nlowaacha wamekuta historia yang na machata yang now npo first yr chuo ila nakumbuka mpk cku za mwsho befor necta kwenye meza ya kusomea pale kla nikipiga misul miref ucku naona kuna jchata lako mzee *osama mtoto*
Duh kumbe yule mzee amefariki ase ... Namkumbuka alikuwa analala sana pale rotary, wanafunzi tunajilinda wenyewe ucku ..R.I.Pcna kumbukumbu nzuri lkn nafikiri n 2015 mwishon au 2016 mwanzoni hivi
Sasa kuna sela alimuita mke wa kisinza "Shemeji" . Kisinza aliwaka balaa..Kisinza ana mke mremboo,alikuwa anaonekana nje kwa nadra sanaaa
Analyse inaonekana humjui vizuri osamamtoto, huyu ilikuwa mkali wa Namba, chand kwake ilikuwa kushotoHahahahaha Osama Mtoto. Umenikumbusha mbali sana man. Tena hiyo siku ya short ya umeme kuna jamaa alivunjika jino anaitwa Emmanuel Erasto(Kama sijakosea) mtu wa Mwanza.
Sema ndugu yangu ulikuwa mbishi sana kule PCM, ila ulinisumbua sana nikusolvie maswali ya Chand
Hahaha naachaje kumjua wakati nimesoma nae darasa moja kwa miaka miwili?Analyse inaonekana humjui vizuri osamamtoto, huyu ilikuwa mkali wa Namba, chand kwake ilikuwa kushoto
Hahahaaaa enzi zetu hizo, mkuu ni pm na nilikuwa miongoni mwa waliokuwa mbele yake kwenye line, alikuwa anaomba booklet kwa sifa, wengine paper imetushika pabaya.Hivi ni nani humu alipitia kizazi cha yule kanjibahi anaitwa Puneet Kishore.
Namba zetu zilikua zinafuatana so kwa paper alikua anakaa siti ya nyuma yangu.
One time tumemaliza paper ya Necta physics 2 sasa mzigo ulinikamata pabaya nikamuuliza puneet hii utapiga kama ngapi? Akasema hii tafeli sana, ngumu mno naweza pata hata 80% .
Kilichofuata nilitoka nje tu