Wale tuliosoma Usagara sec-Tanga

Wale tuliosoma Usagara sec-Tanga

nakumbuka udini usikuwa wa maana na migomo ya ajabuajabu kugomewa kwa graduations za shule kutofanyka nakadhalika na migomo hii iliyofanywa na advance pind nikiwa o-level pale na niliapa kama advance ningepangiwa pale tena nisingeenda anyway hila kuna huyu headmaster alifanikiwa kuitatua lakin si kwa kiasi kikubwa baadae alihamishiwa galanos nasikia sa hiv kashastaafu nishamsahau jina
 
2013 nlimaliza pale saadan tulimgomea akatolew vita ya kidin vyanzo vingi pamoja na mm kuchora picha na maneno ya kidin ubaon siku ya kipindi cha dini ikawa sheeda tulifukuzw km wiki mbili. Nikaenda kibiti tena nikavizia nguruwe pori tukamla kulikuw na watu wananihic muhamiaj msako mkali ukapitishw polis walikuja watu wakaonekana na visu kweny trank zao tukafukuzw tena kibiti huku nikisakwa mm mapemaa mbagala rangi tatu nashukuru mungu
haha ha kuna mmoja wenu aliandika barua yenye ujumbe mzito kwa headmaster akaipitisha kwa chin ya uvungu was mlango was ofisi yake ikimuonya kuhusu nadhan itakuwa maafal headmaster akapaniki akapaniki Assembly akinukuu barua
 
nakumbuka udini usikuwa wa maana na migomo ya ajabuajabu kugomewa kwa graduations za shule kutofanyka nakadhalika na migomo hii iliyofanywa na advance pind nikiwa o-level pale na niliapa kama advance ningepangiwa pale tena nisingeenda anyway hila kuna huyu headmaster alifanikiwa kuitatua lakin si kwa kiasi kikubwa baadae alihamishiwa galanos nasikia sa hiv kashastaafu nishamsahau jina
Atakua Saadani huyo
 
Hivi ni nani humu alipitia kizazi cha yule kanjibahi anaitwa Puneet Kishore.

Namba zetu zilikua zinafuatana so kwa paper alikua anakaa siti ya nyuma yangu.

One time tumemaliza paper ya Necta physics 2 sasa mzigo ulinikamata pabaya nikamuuliza puneet hii utapiga kama ngapi? Akasema hii tafeli sana, ngumu mno naweza pata hata 80% .

Kilichofuata nilitoka nje tu
Huyu muhindi alikuwa wa moto aiseee...
USS hakika "sitakusahau"
 
Back
Top Bottom