Hahahaa nakumbuka huyu kaana alitengeza solution kwa ajili ya kufanyia practical, baada ya kuitengeneza akasema hii storage bottle kubwa hutakiwi kuibeba ,cha kufanya kila group awe anakuja MTU mmoja mmoja anamimina ili kila group liweze kupata hiyo reagent, cha ajabu Jamaa angu Aitwae Kinyanyame kumbe maskini hakumsikia kaana pindi anatoa maelekezo, yy akaenda kubeba container yote - Jamaa aliwashwa Kofi , na laboratory yote tukagugumia kumcheka sana.Me namkumbuka signatory ,na like life la hostely ya shule yan full kuruka ukuta kwenda kwenye koko uck ila usiombe ukamatwe na kaana
Yupo sua sahv yule tichaHaya bana classmate 2009. Mr. Kisinza Hostel master. Pia nakumbuka tukio la wanafunzi wa kiislam CBG kutaka kumuua mwl GS kwa ajili kusema vibaya mtume wao. Mkwizu Mkuu aliyekuwa anatumia usafiri wa baiskeli kutoka usagara mpaka sahare
Tulichezea kichàpo toka kwa askar wa kike sitosahauWale mliokuwepi kwenyw lile varangati la kwenda kupiga wanakijiji pale usagara mabangi kisa mwenzenu kaibiwa simu mje hukuuuuui
Hahahaa nakumbuka huyu kaana alitengeza solution kwa ajili ya kufanyia practical, baada ya kuitengeneza akasema hii storage bottle kubwa hutakiwi kuibeba ,cha kufanya kila group awe anakuja MTU mmoja mmoja anamimina ili kila group liweze kupata hiyo reagent, cha ajabu Jamaa angu Aitwae Kinyanyame kumbe maskini hakumsikia kaana pindi anatoa maelekezo, yy akaenda kubeba container yote - Jamaa aliwashwa Kofi , na laboratory yote tukagugumia kumcheka sana.
2013 hiyo, Vijana wa Sadani Mzee wa " alewiiii, alewaaaa"
tupo,wananchi walioga mawe na fimbo kwa kwenda mbeleWale mliokuwepi kwenyw lile varangati la kwenda kupiga wanakijiji pale usagara mabangi kisa mwenzenu kaibiwa simu mje hukuuuuui
Mfaume na masharubu yake daah miaka kibao sasaNawakumbuka wengi mr bendera mwl wa maths, mr mfaume mzee wa kiswahili, The headmaster himself mr mohamed R.I.P, dunganyani.
Kyabwazi
Naona vijana weeengi hakuna hata anayemuongelea Mood-Headmaster
Vipi vijana wa Leo, form five bado mnawafanyia mambo Fulani mzimuni????![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nadhani alikuwa na pikipiki.Hivi huyu Rwechungura ni yule wa hesabu na physic? Miaka ya 76-77wanafunzi walikuwa wanamwita kichwa cha nyoka
Mr.Hanidi,Mr Nayer,Mr Dyamkwamba,Krishna,Kangero, Kibiriti,Watu wale chumvi zao bana
unazingua barobaroLook to this day
Alex, Terrible, Mrimi, Mzirai, Mama Soka, Kinamboi, Mrimi, Ndege, Mochiwa,.........Sir Alex a.k.a White baba
Hvyo hivyo mkuu mi nimetoka pale 2005 dahHahaha jf forum ukute ww nimshikaj Wang tulikuwa tunakesha wote mbu area tunakula msuli ilaa kisa ID hatusoman