NGOMEKONGWE2021
JF-Expert Member
- Dec 6, 2021
- 616
- 1,254
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kukosea kuzaliwa ndo kupoje mkuu.
Wadau,
Nimekuja kugundua nilikosea kuoa baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 15 na kupata watoto wanne. Dah nilijichanganya nikaoa a Corporate lady ambaye alikuwa mwanasheria kule Arusha, alikuwa ana vihela flani na connections za watu wazito ndani ya bongo....duh acha kabisa!!!
Nilikuja kujuta sana manake kazi zoote na mambo yooote ya nyumbani yalikuwa yanafanywa na mabeki tatu kuanzia Kufua nguo zangu, maji ya kuoga,
Mwenyekiti kuna wajumbe wali dodge kile kikao na ndio hao wanaoleta usumbufu sasa.Mbona wanaume tulisha kubaliana hapa ndani kwamba hakuna kuoa...😕
Very funny...kwanza nilimsomesha mwenyewe, anikamtafutia kazi alikuwa akilipwa mshahara chini ya laki 1,...nikaendelea kumpa maisha ,akaota mapembe... hajanizidi kwa chochote financiallyHukumpenda kweli toka moyoni ulimpendea hela na connection baada ya kuingia ndoani ukajua kuwa ndoa ni zaidi ya hela, ikiwemo bond and chemistry hapo ndio ukachaganyikiwa.
Pole na move on with life maana inferiority ilikuwa inakusumbua
Nilimkuta akiwa hana ishu mkuu.....kuanzia shule mpaka kuanza kazi ...ila akaja kuota mapembe baadayeWanawake wasomi kama huyo huwa hawaolewi, wao ndio wanaoa.
Ila kama uliweza kuishi nae kwa miaka yote hiyo na kupata nae watoto wanne, ningekushauri ungeishi nae tu hivyohivyo kama skrepa lako kwa maslahi mapana ya watoto.
Pole mkuu. Kwakuwa tayari Mahakama imeshabariki Talaka hapo hamna suluhisho lingine.
Aisee. Pole sana, Hali ya kuota mapembe huwa inatokea kwa wanawake wachepukaji na kupelekea kuanza dharau kwa waume zao na kupelekea kuangusha ndoa zao.Nilimkuta akiwa hana ishu mkuu.....kuanzia shule mpaka kuanza kazi ...ila akaja kuota mapembe baadaye
DuuuuhhhhhMkuu hao watoto wa 4 nakushauri uwapime DNA.
Mjomba alikua akifikiria dinner meeting za kila siku anaona kabisa mama huko alikokua wakurugwa wameshamkula wife 🤣🤣Pole na move on with life maana inferiority ilikuwa inakusumbua