Wale rafiki zangu ambao wapo confused hawajui uhalisia wa dunia, ukweli ni kuwa ulimwengu ni uwanja wa fujo

ELI COHEN

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
9,375
Reaction score
28,484
Growing up, nilitambua dunia inamtaka mtu alie honest, mnyenyekevu na mchapakazi

HAPANA SIKUWA SAHIHI,

dunia inataka mtu alie mchapapakazi, ruthless na aggressive.

Kwa wale wa asante mkapa

Ruthless= hali ya kutokuwa na huruma na aibu za bure bure

Aggressive= yani pitia au tafuta fursa kama vile greda inafukua bila kujua mbele kuna nini
 
Upo sahihi kabisa. Nilichezea fursa moja kwa kuwa na moyo wa huruma na kuwawazia ndugu zangu kumbe napotea. Leo hii wao hawana huruma kabisa wanazitumia ipasavyo fursa ambazo niliona sio sawa nipewe mwenyewe
 
"‎Survival of the fitest" ukiwa mtoto ukiangalia documentary ya wanyama na kumuona simba anamkimbiza swala na kumla unaona simba wanaroho mbaya hawana huruma ila ukiwa mkubwa ukiangalia unaona simba hana budi anafanya vile na yeye aishi. Na hivyo ndo dunia ilivyo ukiwa weak utaona kila mtu ni mbaya ila kiuhalisia na wenyewe wanafanya vile wa survive
 
Huu Uzi Leo umeandika ukiwa haujalewa
 
Kutokuwa na huruma basi huo utajiri utaishi nao kwa mateso sana
 
Upo sahihi kabisa. Nilichezea fursa moja kwa kuwa na moyo wa huruma na kuwawazia ndugu zangu kumbe napotea. Leo hii wao hawana huruma kabisa wanazitumia ipasavyo fursa ambazo niliona sio sawa nipewe mwenyewe
Si umeona mkuu, pole sanaa
 
"‎Survival of the fitest" ukiwa mtoto ukiangalia documentary ya wanyama na kumuona simba anamkimbiza swala na kumla unaona simba wanaroho mbaya hawana huruma ila ukiwa mkubwa ukiangalia unaona simba hana budi anafanya vile na yeye aishi. Na hivyo ndo dunia ilivyo ukiwa weak utaona kila mtu ni mbaya ila kiuhalisia na wenyewe wanafanya vile wa survive
Hakikaa mkuu💯💯
 
Huu Uzi Leo umeandika ukiwa haujalewa
20260108_133044~2.jpg
 
Utajiri ni vitu vitatu
1 Fursa
2. Bidii
3.Bahati
Ukikosa hata kimoja hapo Bado utaogelea kwenye umasikini
Unaweza ukawa katili, dhulumat, ila Bado ukawa masikini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom