Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,741
Poa poa mkurugenzi shukranideileeee Hana siku asiyofungua..sema week end ndio raia wanafurika kama anagawa bure kumbe watu wanatoa hela
Poa poa mkurugenzi shukranideileeee Hana siku asiyofungua..sema week end ndio raia wanafurika kama anagawa bure kumbe watu wanatoa hela
Morogoro hapa nyuma ya ofisi ya immigration mkoa kwa KIMARIO.Tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo kinapika kitimoto chenye Quality yaani ukigusa utatamani kesho uje tena?
Kama mnavyojua Utamu wa kitimoto upate na ugari au Ndizi za kukaanga,nimeshapanga ratiba yangu leo lazima nikale kitimoto.
View attachment 942375
View attachment 942377
Nb:
Mashekhe na Maustadhi tafadharini sana msije kuutia shombo uzi huu,
Huu ni kwa sisi wala kitimoto tu ukiona haukufai kafanye mengine siyo kuja hapa.
Cc Zero IQ
Hata contena ipo poaMorogoro -Nyuma ya Msamvu kuna jamaa anaitwa Kimaro/Kimario kuna kitimoto safi ya kuchoma
Vichwa viwili, mko wangapi?.Aisee niko ifakara leo kijiji cha mofu huku kichwa kizima elfu tano, basi nimenunua viwili jamaa wanatengeneza maskio saafi, kila kitu na wanakuwekea na mapupu yale sio mchezo na ndizi. Hatari haya mambo.
KILA MTU NA MAPENZI YAKO MIMI KITIMOTO NAIONA KAMA UHARO TU"Katika wanyama woote walioumbwa kitimoto kaumbika kuliko woooteeee🎶🎶,kapewa na mafuta na nywele za kizungu na kamkia kafupiii pale kwa nyumaaaa,.upate kachumbari na ndizi za kuchoma na kaserengeti baridiii pale pembeniii🎶🎶🎶🎶"
"Katika wanyama woote walioumbwa kitimoto kaumbika kuliko woooteeee,kapewa na mafuta na nywele za kizungu na kamkia kafupiii pale kwa nyumaaaa,.upate kachumbari na ndizi za kuchoma na kaserengeti baridiii pale pembeniii"
Kesho mchana nitakuwa hapo.Mida ya 8 nikishusha na k vant yangu.Kimara safari resort ni hatari.
Hmm!Nendeni Arusha sehemu moja ya Mzungu panaitwa Lively Lady... Acha kabisa ile kitu inakuwa smoked Walahi ukiila utarudi tu
1Kg= 40,000/=
We unajuaUmeapia?Ila kitimoto iko njema sana hasa upate masikio,pua na kwato zilizokaangwa!Hahahahaaaa!