Papaaa mukuubwaaa
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 1,330
- 1,286
kilimanjaro naona choma imesambaa kila kona
kule unyama sana kuna kule nyuma ya st.boniface hatari sana.kigogo mti pesa kwa mzee ngowi.
ni balaa na nusukule unyama sana kuna kule nyuma ya st.boniface hatari sana.
Sumu hiyo usijaribuJaribu japo siku moja kura kasaView attachment 2270777