Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Njoo Huku mitaa ya nyakato Kahama panaitwa old traford,,,,wazee wa kitimoto Kahama mji huwa tunakusanyika pale noma nomalee
 
Tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo kinapika kitimoto chenye Quality yaani ukigusa utatamani kesho uje tena?

Kama mnavyojua Utamu wa kitimoto upate na ugari au Ndizi za kukaanga,nimeshapanga ratiba yangu leo lazima nikale kitimoto.

View attachment 942375

View attachment 942377

Nb:
Mashekhe na Maustadhi tafadharini sana msije kuutia shombo uzi huu,

Huu ni kwa sisi wala kitimoto tu ukiona haukufai kafanye mengine siyo kuja hapa.


Cc Zero IQ


Mimi Sheikh Mkereketwa_Huyu nafakamia sana hii starehe haswa hapa kwetu Singida pale kwa Joseph karibu na kituo kikuu cha mabasi.Hii nyama ni tamu sana kwani hata Mohammad alikuwa anakula, karibuni nyote pale kwa Joseph tukale.
 
Basi tu. Hao jamaa wa mibs ni vitombi sijapata kuona. Umesalimika?

Kasalimika!

142209D7-90EF-4B2B-A3BD-1E71ACD0BDD8.jpeg
 
Back
Top Bottom