Wakuu yamenikuta

Sana sana humu watu wengi watakushauri ukamfanyizie. Lakini ushauri wangu kwako ni kuachana naye aende kwa amani
Umejuaje mkuu watu watamshauri hivyo acha kujifanya wewe ni mwema sana
 
Tafuta watoto wako ulee,utazeeka ukiwa nungayembe hao watamsaidia baba yao,wewe utalala mbele ya maduka ya watu kwenye maboksi na utafia nje kwa ufala wako.
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani punguzeni ukali wa maneno daaah
 
unataka tukwambie nini?

Mwache bhana
 
Kijana unaonekana una engage mno na wasichana. Una mazoea mazoea mengi mno na wanawake. Itakugharimu!
 
Nyote ni wapuuzi watupu ,hujaoa alafu kinakuuma Nini ?? Ndege wafananao huruka pamoja

Tafuta mke uoe ,Kuna mabinti kibao wapo decente sana na wanafaa kuweka ndani..

Achana na uzinifu utakufa kwa presha na kisukari
Why kisukari?
 
Mbona kama unakuja hivi... hebu eleza vizuri. Umeshawahi kumsifia mwanamke kuhusu mbususu yake au uzuri? Umeshawahi kulia kwenye tendo la ndoa kisa utamu wa mbususu?
 
Weka hapa hayo maneno aliyoyaandika.
 
Nikuletee Pepsi au maji makubwa.
 
Sahii kabisa mkuu,
Mwanamke akijijua ni mtamu
Hakuna rangi tutaacha kuona
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…