Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,566
DC anatakiwa mtu mwenye sifa gani?
- Mtu hatari kwenye kugombea jimbo, unampa u-DC?
William.
- Mtu hatari kwenye kugombea jimbo, unampa u-DC?
William.
- Mtu hatari kwenye kugombea jimbo, unampa u-DC?
William.
Wengi ni wangapi?
Wengi ni wangapi?
unataka sababu zipi zaidi ya unazozijua? ngoja nikupe za kwangu
1.wanaandika sana mazuri ya ccm
2.hawajawahi kuiponda ccm wala mtu yeyote ndani ya ccm
3.ni wapenda rushwa wenzao.
4.huwafichia maovu yao
5.kuna vitu wananufaika kutoka kwenye huo mfumo.
mengine ongezea
Come on Nyani! Kwani wingi unaanzia na ngapi na kuishia na ngapi??
- Mtu hatari kwenye kugombea jimbo, unampa u-DC?
William.
Ukiangalia orodha ya wakuu wa wilaya na sifa za baadhi ya tuwajuao, ni vigumu kuelewa vigezo vya uteuzi.
Sijui ndiyo maana nimeuliza. Wewe unajua?
Ukiangalia orodha ya wakuu wa wilaya na sifa za baadhi ya tuwajuao, ni vigumu kuelewa vigezo vya uteuzi.
Kwanza lazima huwe mwana CCM,pili mtu wa kujipendekeza kwa wakuu wa chama na serikali,tatu njaa kali ambayo inakusababisha kukosa aibu... mwingine aendelee....!
Asante kwa kujazia.Sara Dumba, Halima Kihemba
Asante kwa kujazia.