Wakuu wa Wilaya hawa hapa!

Wakuu wa Wilaya hawa hapa!

Hongera sana kakangu joshua mirumbe, fanya mambo bunda, unastahili mkuu!
 
kwenye blue hapo!! hao baadhi ni wabunge na walio kua wabunge...hivi kuna haja gani ya kurecycle??????

Ktk list ya Ma-DC wapya umewasahau waliokuwa wabunge na kutemwa ktk uchaguzi wa 2010 ni hawa:
43. Ponsiano Nyami
45. Selemani Kumchaya
46. Dr. Charles Mlingwa
49. Venance Mwamoto (alitemwa 2005)
50. Benson Mpesya
51. Daudi Felix Ntibenda (Kijiko)
52. Ramadhani Maneno
54. Gulamhusein Kifu

Hii ni only in TZ!
 
Kibonde elimu hakuna pale wewe

Tena afadhali elimu ya Kibonde mara mia! Lucy Mayenga hata na Rosemary Kirigini hata akili darasani walikuwa hawana! ndio maana hatuendelei wanasiasa kupewa nafasi za uongozi hata wasizokuwa na uwezo nazo. Aibu ya serikali!
 
Kuna wanabodi wamewaasa ma DC wapya waende kuchapa kazi, naomba mnisaidie nini hasa kazi za DC? Tupieni job description hapa!
 
Novatus Makunga lazima mjue ni homeboy wake JK kwani ni wa Kabila lake na wanatokea eneo moja. Pia siyo tu kada wa CCM bali mtu mwenye chuki na vyama vingine vya upinzani na aliwahi jaribu kugombea ubunge Arusha CCM wakamchuja ndani kwa ndani. Alikuwa katibu mwenezi wa CCM mkoa wa Arusha.

Ameteseka sana kutafuta cheo CCM na hapa amefanikiwa na msitegemee maendeleo yoyote kwani watu walioteuliwa wengi wamechoka na wengi walishindwa ubunge.

Eti hata aliyekuwa katibu wa KKKT amechaguliwa mkuu wa Wilaya.

acha majungu ndugu yangu makunga n imesoma naye ni mlugulu wa matombo na wala siyo ****** lakini pili hajawahi kugombea ubunge arusha mjini kabla ya kuandika fanya utafiti vinginevyo unaleta chuki binafsi
 
Hivi Dkt Michael Y Kadeghe aliyetuliwa Mbozi ni yule mwandishi wa vitabu, mwalimu na mmiliki wa shule ya perfect vission?
 
Ingekuwa vyema tukasaidiana kuelewa vigezo vilivyo wazi katika kuteua Wakuu wa Wilaya. Novatus Makunga naye yumo!! Cha kujiuliza huyu jamaa imekuaje kampa shavu, kigezo kipi kilichotumika kumteua huyu jamaa? Au mpaka uwe kada wa chama?

Je, kuna CV maalum unatakiwa uwe nayo ndio uteuliwe kuwa Mkuu wa Wilaya?

Wakuu kutoka jikoni a.k.a W/H mtusaidie kwa hili.

Majibu na Maoni Plz
 
Mkuu,suluhisho la mizaha ya namna hii ni katiba mpya ama mabadiliko ya uongozi mwaka 2015.
Haina haja ya kuumia vichwa sana.Fahamu kuwa hakuna vigezo vya kupata hizo nafasi.
 
katiba mpya katiba mpya katiba mpya...madaraka yote haya kumpa mkuu wa kaya ki**za kweli ni janga la taifa...!
 
Wanajamii tusianze kujaji kwa kuangalia udini?wewe siyo thinker nini?watu wapo kiperformance zaidi acha ushamba kama umekosa point cool down bwana.ishu iliyopo je mtu kama babu kipozi na novatus makunga wanaweza kuwa tegemeo la maendeleo?achilia mbali elimu busara za kupambana na changamoto wanazo?

mimi kwa novatus makunga sina wasiwasi naye kwani majukumu ya wakuu wa wilaya nayafahamu kwa mtu aliyepiga uandishi wa habari kwa miaka zaidi ya kumi katika mkoa wenye changamoto kubwa kama wa arusha na amefanya vizuri sana bila kubagua itikafi za siasa tatizo mnaangalia masuala ya uchaguzi kumbukeni wakti wa maandamano ya januari ya cdm walivyouwawaw watu watatu na baadaye kesi za viongozi jamaa alikuwa anaripoti vizuri kuliko mtu yeyote pili kufuatilia kero za wananchi vijijini mpaka ya juzi ya wanajeshi kutaka kupora eneo la wananchi,mimi naomba tumtendee haki sijaona mapungufu yake
 
Ingekuwa vyema tukasaidiana kuelewa vigezo vilivyo wazi katika kuteua Wakuu wa Wilaya. Novatus Makunga naye yumo!! Cha kujiuliza huyu jamaa imekuaje kampa shavu, kigezo kipi kilichotumika kumteua huyu jamaa? Au mpaka uwe kada wa chama?

Je, kuna CV maalum unatakiwa uwe nayo ndio uteuliwe kuwa Mkuu wa Wilaya?

Wakuu kutoka jikoni a.k.a W/H mtusaidie kwa hili.

Majibu na Maoni Plz

uwezo alioonyesha katika utumishi ndani ya habari we uliza ngorongoro,karatu,monduli,longido na arumeru pamoja na hanang jamaa kapiga mzigo wa uhakika na kusaidia inshu nyingi sana za wananchi wa kawaida kati ya hao wa teule jamaa kawazidib wengi sana kwa uwezo na busara
 
huyu Martha Umbula ni mbunge wa CCM viti maalumu Karatu, sijaona umuhimu kumteua kuwa mkuu wa wilaya tena mbaya zaidi kapangwa mbali na jimbo lake.

Sasa kwa hapo kweli kazi ipo, inakuwa vipi sasa hapo kwenye hili swala la salarioo mkuu, ina maana ana kula mara mbili ama ni vipi...! kweli haya sasa ni maigizo ya kaole vs serikali arts group...!
 
[Huyo Mboni M. Mgaza (namba 2) ni msichana mmoja ***** kuliko maelezo, kazi yake kubwa umbeya na udaku kwenye U-Turn blog na Facebook.
Chakula ya kina Malisa wakati wa kampeni 2010.


Acha kukurupuka wewe unayemzungumzia ni Mboni Masimba, miss wa zamani. Huyu Mboni Mgaza ni totauti yeye ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Watoto katika Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto.
 
Kwanza lazima huwe mwana CCM,pili mtu wa kujipendekeza kwa wakuu wa chama na serikali,tatu njaa kali ambayo inakusababisha kukosa aibu... mwingine aendelee....!
 
Uwe unajuana na Riz1 au Miraji...au hata Malisa uingie kwenye kamtandao kao kadogo utapata ukuu wilaya haraka sana!
 
...Pia wapo waliopewa "kutulizwa" maana walionekana hatari either kwa kugombea ktk majimbo ya baadhi ya vigogo, au kwa kuwa na nia ya kugombea. Kuna baadhi yaani hawana uwezo kabisa upstairs, na baadhi utaona wazi walipendekezwa na mtu fulani. Inaelekea pia wengi wamepigiwa shavu thru Pm office, na ni wazi huyu hafai kabisa kuwa PM, kama ambavyo bosi wake hafai kuwa na cheo chochote zaidi ya utembezi !!
 
...Pia wapo waliopewa "kutulizwa" maana walionekana hatari either kwa kugombea ktk majimbo ya baadhi ya vigogo, au kwa kuwa na nia ya kugombea. Kuna baadhi yaani hawana uwezo kabisa upstairs, na baadhi utaona wazi walipendekezwa na mtu fulani. Inaelekea pia wengi wamepigiwa shavu thru Pm office, na ni wazi huyu hafai kabisa kuwa PM, kama ambavyo bosi wake hafai kuwa na cheo chochote zaidi ya utembezi !!


- Mtu hatari kwenye kugombea jimbo, unampa u-DC?

William.
 
Back
Top Bottom