Wakuu wa Wilaya hawa hapa!

Wakuu wa Wilaya hawa hapa!

Kwani waandishi hawastahili kuwa wakuu wa wilaya?
 
Wengi ni wangapi?

Come on !!!!! fani zingine ametoa wakuu wilaya wangapi mfano: walimu, engineeres, DJs, waigizaji, manesi, madaktari, wakulima, mafundi maabara etc. katika makundi hayo amechagua wangapi, hivyo relatively waandishi wa habari ni wengi. Ndio maana tunataka Katiba Mpya kuondoa uozo huu wa mtu kufanya anavyopenda
 
[TABLE="class: cms_table_cms_table, align: right"]
[TR]
[TD]57.[/TD]
[TD]Martha Umbula[/TD]
[TD]Kongwa[/TD]
[/TR
[TR]
[TD]58.[/TD]
[TD]Rosemary Kirigini[/TD]
[TD]Meatu[/TD]
[/TR]
Hivi hawa si wabunge wa viti maalumu??

Kwani VITI MAALUM ni WABUNGE? wanamwakilisha nani? Wana ofisi wapi? kila siku hawana la kufanya, kazi kusubiria mshahara wa bure this is THEFT, IS ONLY POSSIBLE IN TZ, huu upuuzi hakuna Duniani kote.... Wezi wa fedha za wananchi hawa, wanyonyaji....nothing...
 
Ndugu zangu huyu jamaa kashafanya cheo chake kuwa cha URAHISI maana he doesn't think at all, ukute ile picha ya ze-utam ni ya kweli.Coz what I believe to be a DC you must have an administrative background and not whatever he does. Yani kuwa rais nchi hii ukiwa maarufu tu unaupata.
 
Ndugu zangu huyu jamaa kashafanya cheo chake kuwa cha URAHISI maana he doesn't think at all, ukute ile picha ya ze-utam ni ya kweli.Coz what I believe to be a DC you must have an administrative background and not whatever he does ukiwa unajipendekeza, usha mpigia cross kwa demu flani, lazma uukwae uongozi.
 
Mara zote napata hasira kujadili kuhusu nafasi ya wakuu wa wilaya kwa maendleo ya watanzania. Sioni tofauti yao na wapiga debe wa ccm. Sioni hasa kazi yao muhimu ni ipi, nchi hii inatafunwa kama haina mwenyewe vile. Angalia idadi yao, zidisha na gharama ya shangingi na gharama za mishahara yao husianisha na kazi wanayofanya = HASARA KWA TAIFA. Katiba mpya iondoe hawa watu jamani!!!!
 
Sijaweza kujua hasa sababu au mkakati Wa uteuzi wa waandishi wa habari wengi kwenye ukuu Wa Wilaya.
Kwa uchache nimewatambua wafuatao.
1. Novatus Makunga
2. Muhingo Rweyemamu
3. Jacquline Liana
4. Suleyman Kumchaya
5. Elizabeth Mkwasa
6. Sara Dumba (ameongezwa)
7. Halima Kiemba

Naomba uongeze kama kuna zaidi kisha sababu unazofikiri zinazochochea uteuzi.

8. Elias G. Goroi - Rorya
 
Mara zote napata hasira kujadili kuhusu nafasi ya wakuu wa wilaya kwa maendleo ya watanzania. Sioni tofauti yao na wapiga debe wa ccm. Sioni hasa kazi yao muhimu ni ipi, nchi hii inatafunwa kama haina mwenyewe vile. Angalia idadi yao, zidisha na gharama ya shangingi na gharama za mishahara yao husianisha na kazi wanayofanya = HASARA KWA TAIFA. Katiba mpya iondoe hawa watu jamani!!!!

Katiba mpya iwaondoe?? hata ya sasa hawapo.
 
wanaanza lini? wanaapishwa lini?semina elekezi watakuwa wapi? Kwa wiki ngapi?
 
Hili ni swala linalohitaji mjadala mpana kuliko tunavyodhani. Hawa waandishi wa habari wanatakiwa kuwa 'neutral' katika kuripoti matukio mbali mbali, sasa unapoanza kuwateua wakuu wa wilaya na eventually mikoa unaset precedent gani? Ujumbe wa moja kwa moja ni kwamba, iwe iweje hakikisha habari zako zinaegemea upande wa chama tawala na serikali yake maana huwezi kujua lini utaukwaa ukuu wa wilaya.

Hivyo basi, ni rai yangu kwa vyama vya kiraia na kisiasa kuamka na kupambana na serikali hii ovu maana hii ni rushwa mchana kweupe,
 
Pasco,

Nimeangalia kwa haraka haraka nimeona wana tasnia ya habari wako kama watano hivi, nikiongeza na wale walioteuliwa awamu iliyopita, ninapata mashaka kwamba kuna political corruption ndani ya sekta ya habari na hasa kwenye awamu hii ya JK. Huu ni mfumo mpya wa bahasha za khaki.

Jina lako nasubiri kuliona after 2015, japo nayo ni subjet to certain factors. Hata kama utagoma na kuleta za masikini jeuri, tutakulazimisha!
Mkuu Keil,

Wanahabari nimeona wakilamba UD wa shukrani. Kwanye ule uzi wangu wa mazuri ya JK nilimsifia JK kuwa ni mtu wa shukrani na anakumbuka fadhila, hivyo kamwe hawezi kuwatupa jumla wowote waliomsaidia!.

Muhingo ndie aliyeratibu waandishi wa habari wakati wa kampeni za JK mwenyewe anajiona alistahili kuwa msadizizi wa Salva, usaidizi kapewa Michuzi hivyo angalau amekumbukwa!.

Liana ndiye mhariri wa gazeti la Uhuru ambapo kila negative ya CDM ni front page!.

Kipozi ni mtangazaji mwenye sauti ya mvuto wa dhahabu, ndiye alitangaza zile documentaries za kampeni za CCM, Tido akagoma kuzitangaza TBC, ITV, Star TV na Channel Ten kwa njaa zao wakazikumbatia.

Makunga ni kada wa CCM aliomba kuteuliwa ubunge kura hazikutosha ila ndiye ripota wa kambi ya CCM kwa ITV wakati Ufoo ni kambi ya CDM.

Yule mwandishi dada wa mwisho ni chakula ya wakubwa kama walivyo ma DC kadhaa!.

Kwa upande wangu let me be honest, kama nilikuwa Political Advisor wa ubalozi fulani na package ilikuwa nono, nilikataa kuendelea for reasons, kwenye U-DC ndio ningepewa nini?.

Amini usiamini ningekuwa CCM jina langu lingepelekwa, niwe DC alafu so what?.

Nawaona ma DC kama maboya fulani hivi, hawana lolote la maana la kufanya zaidi ya ku chair hizo kamati za ulinzi na usalama za wilaya!.

Kiukweli mimi binafsi yangu naboreka na kazi yoyote ambayo sio interesting kwangu, nahisi hata ma DC wengi ambao ni action oriented, wanaboreka na kuvumilia tuu wakisubiria labda watapewa u RC!.

Hilo la kusubiria kuliona jina langu 2015, ni kweli subiria na utaliona tuu ila sio kwenye nafasi za shukrani kwa kufagilia au kujikomba komba, ukiwa mkweli daima, utachukiwa tuu na mimi CCM huwa nawaambia ukweli hivyo sitegemei shukrani yoyote toka kwao kama ninavyowaambia CDM ukweli humu jf!.
 
1. Novatus Makunga - alikuwa mwandishi/mtangazaji wa ITV na Radio One Arusha.Aligombea kwenye kura za Maoni Kibaha lakini alishndwa.Katika kampeni na uchaguzi wa Arumeru; Makunga ndiyo alikuwa mwana propaganda wa CCM.
- Kwenye reporting yake, alikuwa anaweka picha za ufunguzi na hakuwa anaweka mkusanyiko wa watu katika kampeni husika.
- wakati matokeo ya awali yanatangazwa, yeye alikuwa anapotosha watazamaji na wasikilizaji.Alisema kwenye kupiga kura, vituo vyote vilitawaliwa na kina mama na wazeee na wale vijana wengi waliokuwa wanajitokeza kwenye kampeni,hawakujitokeza kupiga kura!; lakini Asiraj Mvungi alipokuwa anaripoti, alitofautiana na mwenzake.
Uteuzi huu kimsingi, ni kulipa fadhila kwa Makunga na maandalizi ya 2015

2. Muhingo Rweyemamu - kwa wale wenye kumbukumbu; watakumbuka kuwa yeye ndiyo mwasisi na mwanzilishi wa gazeti la Mwananchi(lile la zamani zileee pale CCM Building Lumumba).Baada ya kurudi kutoka Tumaini University na kupata shahada yake ya Mass Comm; alirudi Mwananchi na alipelekwa gazeti la kiingereza - The Citizen; akiwa Senior Journalist wa Sunday Citizen.Kwamba akiwa mwandishi wa gazeti la kiingereza lakini akajipa majukumu ya kuandika na kutoa habari iliyomtuhumu Salim Ahmed Salim(Dkt) kuwa ni mhizbul na anatuhumiwa kwa mauaji ya Karume; na akaweka na picha iliyotengenezwa; ulikuwa ni mpango wa makusudi kabisa.Alifukuzwa MCL (si kuachishwa) na alikuja kuibukia New Habari akiwa miongoni mwa wahariri na uteuzi wake kama mkuu wa Wilaya; pia ni fadhila kwa kazi kubwa aliyoifanya way back in 2005!
 
Mabaki ya EL ndani ya mfumo huu yameondolewa. Bado wakurugenzi wa halmashauri/miji/manispaa/majiji.
 
Mkuu Keil,

Wanahabari nimeona wakilamba UD wa shukrani. Kwanye ule uzi wangu wa mazuri ya JK nilimsifia JK kuwa ni mtu wa shukrani na anakumbuka fadhila, hivyo kamwe hawezi kuwatupa jumla wowote waliomsaidia!.

Muhingo ndie aliyeratibu waandishi wa habari wakati wa kampeni za JK mwenyewe anajiona alistahili kuwa msadizizi wa Salva, usaidizi kapewa Michuzi hivyo angalau amekumbukwa!.

Liana ndiye mhariri wa gazeti la Uhuru ambapo kila negative ya CDM ni front page!.

Kipozi ni mtangazaji mwenye sauti ya mvuto wa dhahabu, ndiye alitangaza zile documentaries za kampeni za CCM, Tido akagoma kuzitangaza TBC, ITV, Star TV na Channel Ten kwa njaa zao wakazikumbatia.

Makunga ni kada wa CCM aliomba kuteuliwa ubunge kura hazikutosha ila ndiye ripota wa kambi ya CCM kwa ITV wakati Ufoo ni kambi ya CDM.

Yule mwandishi dada wa mwisho ni chakula ya wakubwa kama walivyo ma DC kadhaa!.

Kwa upande wangu let me be honest, kama nilikuwa Political Advisor wa ubalozi fulani na package ilikuwa nono, nilikataa kuendelea for reasons, kwenye U-DC ndio ningepewa nini?.

Amini usiamini ningekuwa CCM jina langu lingepelekwa, niwe DC alafu so what?.

Nawaona ma DC kama maboya fulani hivi, hawana lolote la maana la kufanya zaidi ya ku chair hizo kamati za ulinzi na usalama za wilaya!.

Kiukweli mimi binafsi yangu naboreka na kazi yoyote ambayo sio interesting kwangu, nahisi hata ma DC wengi ambao ni action oriented, wanaboreka na kuvumilia tuu wakisubiria labda watapewa u RC!.

Hilo la kusubiria kuliona jina langu 2015, ni kweli subiria na utaliona tuu ila sio kwenye nafasi za shukrani kwa kufagilia au kujikomba komba, ukiwa mkweli daima, utachukiwa tuu na mimi CCM huwa nawaambia ukweli hivyo sitegemei shukrani yoyote toka kwao kama ninavyowaambia CDM ukweli humu jf!.
Pasco,
Wewe ungeteuliwa ningeshangaa sana. Kazi inayofanyika sasa ni kuondoa mabaki ya Lowasa ndani ya mfumo huu na wewe umejinasibu mara kadhaa kuwa mfuasi sugu wa EL. Ungeteuliwa wewe na FairPlayer angeteuliwa pia.
 
Back
Top Bottom