Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,959
- 719
Nimekomba hii picha toka kwa Michuzi, katika hiyo picha naona kuna sura za baadhi ya watu ambao kwa mtazamo wa jamii ya Kitanzania naamini kuna walakini hapo...... pls changia kwa kila jina kama unaweza.
Mke wa Dr. Shein anaitwa Mwana Mwema
Mama Salma,Mke wa Shein(sijui jina), Zakia Meghji na Regina Lowassa.
Walakini wake ni hupi?
Mama Salma,Mke wa Shein(sijui jina), Zakia Meghji na Regina Lowassa.
Walakini wake ni hupi?
Nimekomba hii picha toka kwa Michuzi, katika hiyo picha naona kuna sura za baadhi ya watu ambao kwa mtazamo wa jamii ya Kitanzania naamini kuna walakini hapo...... pls changia kwa kila jina kama unaweza.
Kama si kuhamasisha michango kupitia luninga basi hawa akina mama na mafuko yao ya fedha wanyooshe mikono yao pia ktk TAWLA na TAMWA ili wawe na matawi hadi vijijini(kule buzebazeba,Malinyi,Makongorosi,igale,kazilakanda,ihumwa n.k) ambapo akina mama wengi wanahitaji msaada wa sheria.
That is money laundering!! Wamezipata wapi hawa?? Pesa zetu hizo sasa wanatusanifu tu hatuna cha kusema tutabaki kupiga kelele tu! Kelele za Mpangaji ..!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
WAMA imeanza hardly two years ago. Sasa inaweza kuchangia milioni miambili (200,000,000). Kipindi fulani Mwalimu aliuliza IKULU yetu kuna biashara gani? Akifufuka leo atajua IKULU ni DEAL kubwa! Vipi, EOTF iliondoka na ngapi?
EOTF siku hizi hipo chang'ombe karibu na kibasila secondary school, naona wanapishana ofisi kama wanavyopishana ikulu