Wakuu tupeni pole jamani

pole sana mwathirka mwenzangu angalau nikiongea utaelewa namaanisha nn ebu niambie yale mabomu yaliyoaanza kulipuka mfulilizo mida ya saa 4 kama na nusu jamani ule mwanga ata kama umeangusha sindano chini unaiona live alafu yaliganda kama dk 20 na kitu mfulilizo acheni jamani yani kunguru ucku huo unamkwepa unafikiria ni bomu kumbe na yy anaokoa roho yake

ilikuwa ni dhahama kubwa!!na nikajua kumbe watu wote wanamjua MUNGU,kwani ilikuwa kila mtu Mungu tuokoe,subuhana tuokoe,Mungu tumekukosea nini,mungu tunakufa,mungu tuokoe hatutarudia tena(hata sikujua hatutarudia nini)!!mungu tumeuona utukufu wako, na maombolezo mengi ya staili hiyo!!nitaishi kuukumbuka usiku wa juzi!!
 
yani kila mmoja alimtaja mungu kwa jina lake akuna alokimbia kimya kimya pamoja na yote nimejifunza mabo mengi sana kupitia janga hili na pia kwenye matatizo kama kuna vituko vinakuja kwa ajili ya mstuko wa janga lenyewe yani nyie acheni
 
Dr Pole sana mkuu!
Tumshukuru Mungu kama wewe na familia nzima mko salama.Hakika ni jambo la kushukuru.
Poa tuko pamoja.
 
pole sana mpendwa, hii hali tuisikie tu, ikikufika ni balaa, tunamshukuru Mungu umepona na umeweza kutuletea hii habari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom