Wakuu tupeni pole jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakuu tupeni pole jamani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by drphone, Feb 18, 2011.

 1. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  jamani namshukuru mungu kwa ulinzi wake wa kiungu mm na familia yangu na majirani zangu na wote tulio nusurika na janga la mabomu la gmboto. kifupi cjasimuliwa bali nilishuhudia na kunusurika yote haya yakitokea nilikuwa kama mita 100 hivi na nyumbani tunapata soda na jirani zangu gafla tukaanza kusikia milio ilikuwa tu poa tukasema majambazi yamevamia uko moshi bar hyo ilikuwa mida ya saa 2 pm kufika saa 2 na nusu yakaongezeka tukasema ni radi kuanzia hapo atukuitaji kuambiwa ni mabomu mana aielezeki nilichokumbuka akilini ni kukimbilia familia yangu nilipata tabu kwani ninakoeleke ndiko watu wanakotoka na mabomu ndio yameshamiri yanadondoka ovyo nikasema no mapaka nifike om kufika nikakuta awapo nikakimbilia kwa jirani nikauta wamekimbia wote hofu yangu ikawa kwa mtt wangu 5yrs ambaye alikuwa na msichana wangu kwa vile mabomu ndio yanashamiri kurindima ukweli ilifika mahali nikagivup maana ilikuwa toomuch nikalala tu chini unatimuliwa na vumbi vipande vinapiga kwenye mabati vishindo na mitikiso ya yaloanguka karibu kabisa jamani kweli mliosimuliwa ombeni hivyo hivyo ila msiombee yawakute ata mm naomba yasijetokea mna kwa masaa yote zaidi ya 3 si mchezo.

  nashukuru mungu jana niliweza kumpata mtt na dada yake pamoja na mdogo wangu nimeshuhudia mabomu zaidi ya 10 na nimepiga picha baadhi yalotua kwenye maeneo yakwetu watu wameibiwa wamekimbia makazi yao watt wamepotea ni mengi yalotokea jana nilitamani sana kuwajuza wana jf mapema ila cm ziliisha chaji jana yote nzima nilikuwa na majukumu mengi ila leo nimeweza kuingia hewani nilikosa pole zenu asa kwa pearl kwani ndio mwana jf anayejua mpaka om kwa hilo nampa bun anless wana jf wamtetee.
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,111
  Likes Received: 24,173
  Trophy Points: 280
  Aisee!

  Pole sana mkuu!

  Mungu aendelee kuwabariki na kuwapeni moyo wa subira.
   
 3. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Pole sana kamanda

  Hii inanikumbusha 1978-79 tukiwa nyumbani kwetu maaeneo ya Kyotera!

  Anyways nadhani wakazi wa Mbagala na Gongo La Mboto hawahitaji kwenda JKT
   
 4. Loner

  Loner JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2011
  Joined: Mar 12, 2010
  Messages: 212
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana drphone kwa yalio kusibu wewe na familiy yako. Nifuraha kubwa sana kwamba uko salama. NI kweli kwamba matukio mengine wewe yasikie kwa jirani tu na yasikutoke wewe..
   
 5. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #5
  Feb 18, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  thanks mkuu
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Feb 18, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Pole sana drphone, na tumshukuru Mungu u mzima na familia yako.
   
 7. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  nikweli mkuu nikiwaona watu wanavyofanya dhihaka juu ya tukio hili naumia sana
   
 8. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu hili alina uzoefu gongo la mboto hii ni mara 2 inatokea mbagala ilikuwa cha mtt uku ni zaidi ya saa 3 yanarindima non stop mkuu
   
 9. JS

  JS JF-Expert Member

  #9
  Feb 18, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Pole drphone...Mungu ni mwema na amekuepushia madhara ya aina yoyote.
   
 10. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #10
  Feb 18, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  thanks mkuu
   
 11. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #11
  Feb 18, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  thanks binamu nikiangalia majirani walobomolewa nyumba na 1 kufa wakati mabomu yalipita juu ya nyumba yangu salama namshukuru mungu sana
   
 12. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #12
  Feb 18, 2011
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kweli umepata wakati mgumu. Pole Mkuu na Mungu akupe amani kipindi hiki cha misukosuko.
   
 13. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #13
  Feb 18, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  pole sana kiongozi
   
 14. Kituku

  Kituku JF-Expert Member

  #14
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 239
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Pole mwanaajamii , inabidi uchinje japo bata au mbuzi kumshukuru mungu.. maana kwa maelezo yako na hali tulivyokuwa tunaiona .si mchezo
   
 15. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #15
  Feb 18, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Ndg Drphone pole sana, tumshukuru Mungu pia aliye kulinda na kukuweka hai hadi sasa.
  Mungu aendelee kukulinda na kukutia nguvu kwa majukumu yaliyoko mbele yako hadi mrudie hali ya kawaida. Ubarikiwe.
   
 16. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #16
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Poleni sana jamani,tunashukuru umesalimika na familia.....Mungu awe nanyi!!!
   
 17. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #17
  Feb 18, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  thanks mkuu
   
 18. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #18
  Feb 18, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  thanks binamu mungu ni mwema
   
 19. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #19
  Feb 18, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  thanks a lot mkuu amen
   
 20. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #20
  Feb 18, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu kwa furaha nikichinja itabidi wana jf wote nile nao ck hyo bila hivyo ckubali
   
Loading...