Wakuu tupeni pole jamani

Baada ya kuwa salama tafuta wana Jf kwenye jukwaa la sheria au tafuta mwansheria unayemjua haraka haraka wa kuisue serikali na JWTZ na kuomba fidia yausumbufu na mali zako zilizopotea. Hope ukifungua kesi na wengine wataijiunga kuongeza madai yao.

Msisubiri serikali na JWTZ ijamulie fidia ya kuwalipa. wanatakiwa wawapigie magoti nawatoe fidia ya uhakika.

haya twende kazi. na pole sana ndugu

thanks kwa wazo lako zuri ila nafikiri ww ni mgeni na serikali ya tz ingekuwa ni fisadi ndio kalipukiwa bac angelipwa bila kudai
 
mkuu drphone ...umetuletea sredi ya sympathy halafu umeingia uchovu ukaenda kupiga usingizi .. du kweli mabomu kiboko

hapana mkuu 2popamoja nilitoka ofcn now nipo msibani kwa jirani yangu alolipukiwa na bomu ndani
 
Pole Bandugu, Tumshukuru Mungu kuwa umesalimika dhidi ya roho mbaya ya watawala wetu..
Manake huo ni uzembe ambao ungeweza kuepukika na madam walipuuzia, basi ni kwa sababu ya roho mbaya waliyo nayo dhidi ya raia wake..

Ipo siku tu.
Pole sana ndugu yangu.

thanks mkuu nikweli ni uzembe wa hali ya juu
 
Pole kaka,Tushukru Mungu umetoka salama wewe na familia yako,na tuzidi kuwaombea walioumia na kuathirika zaidi na tatizo hilo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom