mbeyakwetu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 723
- 398
Hivi wewe ni mwanaume wa taifa Gani?mbona wa ajabu hivyo?Khaa
[/QUOTE. Hivi wanaume Wa aina hii wapo bado au?
Hivi wewe ni mwanaume wa taifa Gani?mbona wa ajabu hivyo?Khaa
[/QUOTE. Hivi wanaume Wa aina hii wapo bado au?
Sasa kama aliachana na mke wake kwa mambo hayo,wewe unangoja nini?Mkuu mpaka nakuja kuandika hapa, nilishamfuata mzee mmoja ambaye ndo alikua tegemeo langu ila mwisho wa Siku na yeye aliishia kunisimulia visa vyake, kwamba na yeye aliachana na mke wake kwa mambo kama hata na mbaya zaidi aliekua anashiriki na mke wake ni kiongozi wake wa dini(kiroho)
Na wewe upo tuuu...pamoja na kujua yote hayo.maisha haya aisee....Si uyo mnashare na jamaa ushapata ukweli ni wewe tu kuamua kuendelea kuishi naye au yeye kuiacha tabia yake, ila wa ivo huwa hawaachi, mume wangu ana hawara mke wa mtu miaka 10 inaisha sasa, jamaa adi ashamtolea bastola kutaka kumuua mr lakini hawaachani ng'ooo na wa kwako hawaachani adi watazaa kabisa
Kumbe unajua yote haya,sasa unakwama wapi kufanya maamuzi,mimi mke wangu yupo free sana,sina muda wa kumfuatilia wala sina time nae...kwasababu tulisha fikia muafaka kwamba,siku yoyote itakapobainika kuna usaliti,tutavunja uhusiano mara moja.tupo tu miaka 10 na ushee,hakuna hata mwanaume nayehisi anatembea na mke wangu.sasa sijui hachepuki au yuko smart kwenye usaliti.mimi niliteleza mara moja au mbili nikaacha,miaka michache iliyopita.sure! Mwanamke au mwanaume aliezoea kutokea na watu tofauti tofauti kuacha ni ngumu, labda akutwe na jambo gumu ndo anaeza akajaribu kuacha!! Maana anachukulia kama ni jambo LA kawaida sana. Ila sasa ni bora awe binti au kijana ambaye hajaoa. Ila hili swala linapoingia kwenye ndoa,linakua na sura nyingine kabisa. Maana linaharibu future yoote kabisa, pale unapogundua mwenzio yupo njia tofaut hata ule utayari wa kumshirikisha kwenye mipango ya maendeleo unatoweka kabisa..
Kwanza tayari uthibitisho unao wa kutosha, maana yake maamuzi unayo mkononi mwako, ila tu usifikirie kuhusu kusambaraka kwa familia, pia fikiria madhara mbalimbali ambayo yatasababishwa na mwanamke mdhinifu ndani ya ndoa kama magonjwa na kuletewa watoto sio wakwako siku akivurugwa anakwambia watoto sio wako na unaweza chukua maamuzi tofauti, cha kukushauri1. Nikichoweza kukipata kwenye mawasiliano yao ni call logs, durations za call. Ila contents sijapata kujua. Pia baadhi ye text msgs ambazo Niko na screenshots.
2. Hao jamaa wote niliwapa warning via text msg ambazo pia Niko nazo mpaka sasa. Ila wanaonekana kuignore maana sikupata response na nikijaribu kupiga hawashiki. Ila sijawakazia sana maana wanaume mkishaelekezana jambo Mara moja kama ni waelewa mtaelewana, ila kama sio waelewa ndo inabidi kuchukua maamuzi Mengine.
3. Uthibitisho kua alichepuka nao nimeupata alinipatia yeye mwenyewe ndo akanambia wameachana. Na kuna mmoja wapo nilithibitisha pia kupitia cm yake kwani nilikuta Picha ambayo Back ground yake ni mazingira ya Lodge, ( kioo & sinc kwa wash room) na TV ya kubadikwa ukutani zile wanawekea cage na kufuli)
4. Nilijaribu kumshirikisha Mzee mmoja hivi akaishia kunanipa Pole, akanambia wanawake hawaeleweki, nilimshirikisha pia Dada ake ila nikaona kama Dada ake pia anagwaya kum face mdogo ake. Japo Lengo langu kumshirikisha ilikua ni kujuza au kupata mwakilishi wa upande wao juu ya Yale yanayoendelea ili Siku nikijafanya maamuzi isionekane kama suprize.
5.Binafsi nimewaza kuachana na huyu Mwanamke japo naumia sana kuona familia yangu inasambaratika, Maana sijajua Maisha ya watoto baada ya hapo yatakuaje japo mahitaji nitakua nawapa lakini Malezi. Maana mmoja ako na 5yrs, na wa pili 5months.
NB:
Kwa mtizamo wangu pia naona kutawanya familia yangu, alafu bado naendelea kuonana na walionivunjia Familia bila kuwachukulia hatua yyte maumivu yanaendelea kuwa pale pale tena yanaongezeka kula napowaona, japo wanafanya kunikwepa kwepa. Ila ni Disciplinary action gani nitachukua dhidi yao bila kuniletea athari bado nawaza na sijapata majibu
kwanza na nianze na msemo unasema "cheating is a decision not a mistake" .. mkeo kuna tatizo mahala kama anakua mrahisi ivyo kuvulia watu wengi chupi angali ni mke wa mtu (sorry), kuna madhara makubwa zaidi ya unavyodai unaogopa kusarambatisha familia yako na hofu yako juu ya watoto wako, kuna magonjwa ya zinaa lakini kuna magonjwa ya moyo yanayosababishwa na mawazo kwa mke ulie nae, pia kuna sonona. nk. sasa binafsi nakushauri kaa nae kikao kizito sana na familia yake na familia yako, kikao utakacho fanya kama ni cha mwisho kabisa juu ya msamaha kwa mkeo, waambie wanafamilia wake juu ya tabia za mkeo na uvumilivu uliokua nao, mpe nafasi nayeye afunguke na awe huru, na utatoa tahadhari kwamba hutarajii kupatanishwa nae tena ikiwa karudia ama kuonyesha dalili zozote za kutokua muaminifu, kikao iko kijumishe na kiongozi wa dini yenu, baada ya apo rudi home na mkeo mtoke out sehemu ulivu mpumzike kama week kumuweka sawa kiakili the endeleeni na maisha, ikiwa akarudia ama kuonyesha dalili zozote za kutokua muaminifu piga chini faster tu, kama unajiweza kiuchumi unaweza muachia nyumba ukaneda kuanza maisha upya.,1. Nikichoweza kukipata kwenye mawasiliano yao ni call logs, durations za call. Ila contents sijapata kujua. Pia baadhi ye text msgs ambazo Niko na screenshots.
2. Hao jamaa wote niliwapa warning via text msg ambazo pia Niko nazo mpaka sasa. Ila wanaonekana kuignore maana sikupata response na nikijaribu kupiga hawashiki. Ila sijawakazia sana maana wanaume mkishaelekezana jambo Mara moja kama ni waelewa mtaelewana, ila kama sio waelewa ndo inabidi kuchukua maamuzi Mengine.
3. Uthibitisho kua alichepuka nao nimeupata alinipatia yeye mwenyewe ndo akanambia wameachana. Na kuna mmoja wapo nilithibitisha pia kupitia cm yake kwani nilikuta Picha ambayo Back ground yake ni mazingira ya Lodge, ( kioo & sinc kwa wash room) na TV ya kubadikwa ukutani zile wanawekea cage na kufuli)
4. Nilijaribu kumshirikisha Mzee mmoja hivi akaishia kunanipa Pole, akanambia wanawake hawaeleweki, nilimshirikisha pia Dada ake ila nikaona kama Dada ake pia anagwaya kum face mdogo ake. Japo Lengo langu kumshirikisha ilikua ni kujuza au kupata mwakilishi wa upande wao juu ya Yale yanayoendelea ili Siku nikijafanya maamuzi isionekane kama suprize.
5.Binafsi nimewaza kuachana na huyu Mwanamke japo naumia sana kuona familia yangu inasambaratika, Maana sijajua Maisha ya watoto baada ya hapo yatakuaje japo mahitaji nitakua nawapa lakini Malezi. Maana mmoja ako na 5yrs, na wa pili 5months.
NB:
Kwa mtizamo wangu pia naona kutawanya familia yangu, alafu bado naendelea kuonana na walionivunjia Familia bila kuwachukulia hatua yyte maumivu yanaendelea kuwa pale pale tena yanaongezeka kula napowaona, japo wanafanya kunikwepa kwepa. Ila ni Disciplinary action gani nitachukua dhidi yao bila kuniletea athari bado nawaza na sijapata majibu
ushauri mzuri sana huu.Kwanza tayari uthibitisho unao wa kutosha, maana yake maamuzi unayo mkononi mwako, ila tu usifikirie kuhusu kusambaraka kwa familia, pia fikiria madhara mbalimbali ambayo yatasababishwa na mwanamke mdhinifu ndani ya ndoa kama magonjwa na kuletewa watoto sio wakwako siku akivurugwa anakwambia watoto sio wako na unaweza chukua maamuzi tofauti, cha kukushauri
kwanza na nianze na msemo unasema "cheating is a decision not a mistake" .. mkeo kuna tatizo mahala kama anakua mrahisi ivyo kuvulia watu wengi chupi angali ni mke wa mtu (sorry), kuna madhara makubwa zaidi ya unavyodai unaogopa kusarambatisha familia yako na hofu yako juu ya watoto wako, kuna magonjwa ya zinaa lakini kuna magonjwa ya moyo yanayosababishwa na mawazo kwa mke ulie nae, pia kuna sonona. nk. sasa binafsi nakushauri kaa nae kikao kizito sana na familia yake na familia yako, kikao utakacho fanya kama ni cha mwisho kabisa juu ya msamaha kwa mkeo, waambie wanafamilia wake juu ya tabia za mkeo na uvumilivu uliokua nao, mpe nafasi nayeye afunguke na awe huru, na utatoa tahadhari kwamba hutarajii kupatanishwa nae tena ikiwa karudia ama kuonyesha dalili zozote za kutokua muaminifu, kikao iko kijumishe na kiongozi wa dini yenu, baada ya apo rudi home na mkeo mtoke out sehemu ulivu mpumzike kama week kumuweka sawa kiakili the endeleeni na maisha, ikiwa akarudia ama kuonyesha dalili zozote za kutokua muaminifu piga chini faster tu, kama unajiweza kiuchumi unaweza muachia nyumba ukaneda kuanza maisha upya.,
Wanawake wenye shida ni vipotable. Wanawake wanaochepuka bila aibu ni viportableWapi kasema ni kipotabo?
Agiza Safari lager nakuja kulipia. Katika ushauri wote anapaswa kufuata ni huu labda iwe ana siri nzito na huyo mwanamke. Hata kama ana siri nzito naye Mimi naamini bado ana nafasi.Kijan mwenzangu pole Sana .
Nilichogundua ww unawaza kwamba bila mwanamke huyo huwez kuanza maisha .na lazima kila kitu umshirikishe yaan inafikia hatua unagundua kuwa mkeo tena wa ndoa ana uhusiano na watu zaidi ya mmoja (nje ya ndoa )still unavmilia halafu mshikaj anapga simu kwa mkeo namba unaijua halafu unampa mtoto amplekee mke wak aongee na mvujaji wa ndoa yako!!!!(hii natafasiri kwamba unahalalisha mapezi yke kwao .na atakuwa na mabwana zake anasema hata ukipiga simu hawez kuonge lzma anipe mm).kijana mwenzangu UNAKWAMA WAPI?.Hya ndo madhara ya kuwa na uchumba na demu mmoja wa Kwanza na unamuoa huyohyo..au huenda maisha uliyonayo ni kwa nguvu za mwanamke na si ww means kwamba .mkeo ana authority ya kuamua juu yak wew(mamlaka).kijana mwenzangu,HAKUNA HAKI SAWA 50 kwa 50 kat ya mme na mke.Kifupi ni kwamba unavyofikiria kuwa familia kuyumba na hujui utaanzia wapi ndo UJINGA unavyozidi kukupiga .Amini kwamba mke ambay unawez kuwa nae na mambo bado yakaenda yupo.Ni swala la kuamua tu.
Kijana mwenzangu,heb jione ulivyo ss baada ya kusoma comments za watu jitathimin ss.Misemo ya kuponza kama eti NDOA ni kuvumiliana ni ya kupotoshana kabsa. Nachojua mm ndoa ni furaha .
Eti mtoto Hana hatia ntamlea tu mbona umeshindwa kulea wa mdg wak/kaka zak ??.mbna wanakuomba pesa unawaambia Hali ngumu?..mbna ndg zak wana kuomba unasema upepo sio?? Ndo uje ulee mtoto wa jamaa aliyekula mkeo.yaan jamaaa anakupigia mkeo,halafu anamzalisha ,halafu unamlelea ww!!.Daaaaahh WANAUMEEE TUNAKWAMA WAPI???.
Nan aliyeturogaaa?? .Au huenda anasiri nzito Sana juu yako hvyo unaogopa anaweza kuisambaza ??
Lakin kbsa km u rijar braza unatuaibishaa muache maisha yapo tu.Mke mmoja mpka kufa !!!!(kuna warakin ndan ya maneno haya)...Wakat mwngne tuwe na uvumiliv kias na tusome maandiko na kupokea ushaur tukiwa na mawazo nje ya boxxxxxxx..!!!!
Pol na kwa heri braza ila chukua hatua .Hakuna usalit uliovumilika kwa mwanamme labda kwak...
Duh! ndoa hizi Eeh Mungu turehemu sawa na fadhili zako kiasi cha wingi wa Rehema zako uyafute makosa yetu....
Dah.. Dogo kamwe usimshauri mwanaume amuache mwanamke hata kama anafanyiwa mambo gani...Kwani hujui anapata "malipo" gani ambayo labda yanafunika maumivu yote. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Maisha haya, sijui kwa nini huwa tunaona mazuri kwa watu siku zote. Na hata wanapotusaliti tunatumai watabadilika.
Hapo huna mke braza, achana naye, anza maisha bila yeye.
Hivi mkeo anacheat na watu watatu unawazaje kuvumilia! Na hapo huna uhakika kama mtoto ni wako.