Wakuu naombeni mawazo yenu(ushauri)

Wanaume wengi hatujui kuwa wanawake zetu kiukweli hawakosi michepuko...hata awe mwembamba mnene nani anabisha? Ukibisha chunguza utagundua ila angalia usife na presha bure
 
Pamoja na yote uliyoshauriwa uamuzi uko mikononi mwako Mkuu!!

Mwanamke anayelala na mwanaume huku ameolewa sio mwanamke wa kulelea watoto katika maadili!
 
Kwa maelezo uliyotoa ni wazi kuwa umeamua kuishi na mkeo katika hali yoyote ile, maana ni wazi kuwa anakusaliti na ataendelelea kukusaliti.
Sina cha kukushauri maana kwa yanayotokea kwenye ndoa yako ilipaswa kuwa umwe umeshaamua.
Nikupongeze tu kwa kudhihirishia ulimwengu kuwa bado kuna wanaume wenye moyo uliojaa mashaka ya kuacha mke.
 
:mad::mad::mad::mad::mad:😂😂😂😂
 
Wakuu naombeni mnisaidie mawazo, maana kuna kipindi mtu unakua kwenye wakati mgumu mpaka unaona kila uamuzi unaoufanya hauko sahihi. Wakuu hapa nilipo nina mke na tuna watoto wawili.

Mwaka 2017 niligundua kua kuna jamaa anatoka na mke wangu, nilipopata taarifa nilijaribu kumuuliza mke wangu kwa kuongea nae taratibu tena kwa busara kabisa ili nipate ukweli kuhusu jambo hilo ila matokeo yake alikuja juu sana na kutishia kua angekunywa Sumu kwa sababu namsingizia mambo ambayo hajayafanya.

Baada ya hali ile kutokea sikuendeleza mjadala ila nikamwambia kama hili jambo lina ukweli basi aache maana litatuharibia familia na huyo bwana anaemdanganya hana malengo yoyote mazuri na yeye zaidi ya kumharibia tu maisha kisha anapotea.

Wakati yote hayo yanaendelea mimi nilikua kazini. Na kazi yenyewe haikua na makazi maalumu. Tulikua tunahamishwa sehemu mbalimbali kulingana na project zinazokuepo. Ila nikiwa mbali nilikua najitahidi kufika nyumbani mara kwa mara, na pia nilimwambia awe huru wakati wowote atakapojisikia kuja nilipo, nimkatie tiketi awe anakuja.

September 2018 nikawa nimefika home ghafla nilipofika nikaingia ndani sijakaa hata dk 5 simu yake ikaita, ilikua sebuleni nikaichukua kuangalia namba nikakuta ni yule jamaa ndo kapiga, nikampa mtoto simu nikamwambia ampelekee mama alikua kwenye ofisi zake hapo hapo nyumbani, sikufuatilia walichoongea.

Kuanzia hapo nikawa namfuatilia na nikagundua kuwa tofauti na huyo Jamaa bado ana mahusiano na jamaa wengine wawili, usiku wake nikambana akanieleza ukweli ni kwamba alikua na mahusiano nao ila ameachana nao tayari. Ila nilichobaini si kweli kua ameachana nao maana nilipokua nafuatilia nilikuta mawasiliano bado yapo japo kila napomuuliza anajitetea sana.

Nilimchukua tukaenda kupima VVU nikakuta Mwenyezi Mungu alimnusuru yupo Safi. Baada ya hapo tukaendelea hivyo hivyo na baadae akapata ujauzito, ila kwa kipindi chote hiki alikua anaficha kweli simu yake, akija ndani anaiacha ofisini na usiku akilala anaizima.

Ila wakati mimba ina miezi 7 nikakuta msg ya yule jamaa wa mwanzo kabisa, akimtaka wakutane, nilimhoji tena huyu mwanamama lakini hakunipa jibu la kueleweka.

Baadae alijifungua salama, sema kwa bahati mbaya au nzuri mtoto ametoka copy ya mama yake, kwa kipindi cha uzazi sikuona mawasiliano yakiendelea. Ila sasa hivi mtoto ana miezi mitano na nimekuta mawasiliano yameanza tena.

Kwa hayo machache wakuu naomba mnisaidie mawazo yenu, maana binafsi bado sijaamua chochote. Na kama kuna swali mniulize tu maana nimejitahidi kufupisha.

Pole mkuu, namtamani huyo mwanamke wako nikutane nae nikamwambie ana mume bora sana atulie kabla dunia haijamgeukia
 
duh adhakuona boya kwa matendo yako ..huchukui hatua..huna maamuzi
 
We jamaa jiangalie vzuri..una udhaifu mkubwa sana..pole yako inawezekana hata hao watoto sio wako..au ni bushoke wewe.
 
Huyo sio mke, ila ni ku**a ya mtaa. Achana naye angalia wanao na kubaliana na matokeo ya kuwa huna mke na jipange upya kutafuta mwenza mwingine ambaye mtaendana. Polee sana mkuu, Mungu atakusaidia utashinda
 
Duu, nimesoma jinsi jamaa anavyo eleza nimehic machozi yananitoka sijui kwa nn.

Kwa ufupi, mkeo kakusoma, hao wanaume wamekusoma wamekuona boya.

Katika mazingira ya kawaida usisubiri hasira zikupande ufanye mabaya zaidi bali ktk hari hiyo hiyo ya uvumilivu na hekima mtakie maisha mema mkeo vinginevyo nyie watu wapole mkishaa fula ttawasikia kwenye vyombo vya hbr.
Usifike huko achana mapema kuzuia hasira na matukio mengine mabaya atakayo kufanyia.
 
Kingsmann,
Nashukuru kwa ushauri mkuu, kuna kipindi niliwaza hivyo ila hata nisiposhiriki nae INA maana ndo itakua hivyo for the rest of my life??

Because I am 30 now. Maana naona kurudishwa nyuma sana, maana nimejenga akiwepo na kuna miradi nimefanya akiwepo na nikampa yeye kuisimamia kutokana na Mimi kuwepo kwa mkaburu. Na pia gharama/muda wa kuanzisha Familia nyingine tena. Maana hapa Future siioni
Pole sana ndugu. Nimeelewa unampenda sana huyo mwanamke na pia wewe ni Mwanaume wa pekèe nadhani una hofu ya Mungu.
Wewe bado mdogo kiumri, una muda wa kuangalia upya maisha yako na kusahihisha pale unapoona kuna shida.
Kaa chini jitafakari tena
 
Duu, nimesoma jinsi jamaa anavyo eleza nimehic machozi yananitoka sijui kwa nn.

Kwa ufupi, mkeo kakusoma, hao wanaume wamekusoma wamekuona boya.

Katika mazingira ya kawaida usisubiri hasira zikupande ufanye mabaya zaidi bali ktk hari hiyo hiyo ya uvumilivu na hekima mtakie maisha mema mkeo vinginevyo nyie watu wapole mkishaa fula ttawasikia kwenye vyombo vya hbr.
Usifike huko achana mapema kuzuia hasira na matukio mengine mabaya atakayo kufanyia.
Mkuu huyu umesema kweli tupu
Huyu mwanamke umepewa heshma na thamani kubwa sana. Anamwona mume wake kama mjinga na mtumwa ila nina uhakika atakuja kulia
 
Ukiona mwanamke anakusaliti ujue hupendwi,kama hupendwi unabaki kufanya nini?

Huwa sitoi msamaha kwa msaliti hata siku moja!
Hebu achana na huyo kiwembe asee
Madume ndani ya profile ya kike.kweli kila jambo lina mwisho wake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom