Ndiyo
Anha,unayoijua siku zote
Ndiyo
Hahaha sawa...Anha,unayoijua siku zote
Uwezekano ni mkubwa tu kuwa mtoto siyo wa kwangu, ila kwa vile yupo kwenye himaya yangu, na mtoto hana hatia yoyote nitamtunza na kumpatia mahitaji yote ya msingi. Ila wa kushughulika nao ni mama pamoja na wakora zake.Mtoto sio wako
Usitimue muache akuze watoto Kwanzaa ishi nae kama Dada ako
Mtege jamaa na mtego wakodi wahuni tafuna rinda
kweli dunia ina mambo...pole bestSi uyo mnashare na jamaa ushapata ukweli ni wewe tu kuamua kuendelea kuishi naye au yeye kuiacha tabia yake, ila wa ivo huwa hawaachi, mume wangu ana hawara mke wa mtu miaka 10 inaisha sasa, jamaa adi ashamtolea bastola kutaka kumuua mr lakini hawaachani ng'ooo na wa kwako hawaachani adi watazaa kabisa
Si uyo mnashare na jamaa ushapata ukweli ni wewe tu kuamua kuendelea kuishi naye au yeye kuiacha tabia yake, ila wa ivo huwa hawaachi, mume wangu ana hawara mke wa mtu miaka 10 inaisha sasa, jamaa adi ashamtolea bastola kutaka kumuua mr lakini hawaachani ng'ooo na wa kwako hawaachani adi watazaa kabisa
Achana NAYEWakuu naombeni mnisaidie mawazo, maana kuna kipindi mtu unakua kwenye wakati mgumu mpaka unaona kila uamuzi unaoufanya hauko sahihi. Wakuu hapa nilipo nina mke na tuna watoto wawili.
Mwaka 2017 niligundua kua kuna jamaa anatoka na mke wangu, nilipopata taarifa nilijaribu kumuuliza mke wangu kwa kuongea nae taratibu tena kwa busara kabisa ili nipate ukweli kuhusu jambo hilo ila matokeo yake alikuja juu sana na kutishia kua angekunywa Sumu kwa sababu namsingizia mambo ambayo hajayafanya.
Baada ya hali ile kutokea sikuendeleza mjadala ila nikamwambia kama hili jambo lina ukweli basi aache maana litatuharibia familia na huyo bwana anaemdanganya hana malengo yoyote mazuri na yeye zaidi ya kumharibia tu maisha kisha anapotea.
Wakati yote hayo yanaendelea mimi nilikua kazini. Na kazi yenyewe haikua na makazi maalumu. Tulikua tunahamishwa sehemu mbalimbali kulingana na project zinazokuepo. Ila nikiwa mbali nilikua najitahidi kufika nyumbani mara kwa mara, na pia nilimwambia awe huru wakati wowote atakapojisikia kuja nilipo, nimkatie tiketi awe anakuja.
September 2018 nikawa nimefika home ghafla nilipofika nikaingia ndani sijakaa hata dk 5 simu yake ikaita, ilikua sebuleni nikaichukua kuangalia namba nikakuta ni yule jamaa ndo kapiga, nikampa mtoto simu nikamwambia ampelekee mama alikua kwenye ofisi zake hapo hapo nyumbani, sikufuatilia walichoongea.
Kuanzia hapo nikawa namfuatilia na nikagundua kuwa tofauti na huyo Jamaa bado ana mahusiano na jamaa wengine wawili, usiku wake nikambana akanieleza ukweli ni kwamba alikua na mahusiano nao ila ameachana nao tayari. Ila nilichobaini si kweli kua ameachana nao maana nilipokua nafuatilia nilikuta mawasiliano bado yapo japo kila napomuuliza anajitetea sana.
Nilimchukua tukaenda kupima VVU nikakuta Mwenyezi Mungu alimnusuru yupo Safi. Baada ya hapo tukaendelea hivyo hivyo na baadae akapata ujauzito, ila kwa kipindi chote hiki alikua anaficha kweli simu yake, akija ndani anaiacha ofisini na usiku akilala anaizima.
Ila wakati mimba ina miezi 7 nikakuta msg ya yule jamaa wa mwanzo kabisa, akimtaka wakutane, nilimhoji tena huyu mwanamama lakini hakunipa jibu la kueleweka.
Baadae alijifungua salama, sema kwa bahati mbaya au nzuri mtoto ametoka copy ya mama yake, kwa kipindi cha uzazi sikuona mawasiliano yakiendelea. Ila sasa hivi mtoto ana miezi mitano na nimekuta mawasiliano yameanza tena.
Kwa hayo machache wakuu naomba mnisaidie mawazo yenu, maana binafsi bado sijaamua chochote. Na kama kuna swali mniulize tu maana nimejitahidi kufupisha.
sure! Mwanamke au mwanaume aliezoea kutokea na watu tofauti tofauti kuacha ni ngumu, labda akutwe na jambo gumu ndo anaeza akajaribu kuacha!! Maana anachukulia kama ni jambo LA kawaida sana. Ila sasa ni bora awe binti au kijana ambaye hajaoa. Ila hili swala linapoingia kwenye ndoa,linakua na sura nyingine kabisa. Maana linaharibu future yoote kabisa, pale unapogundua mwenzio yupo njia tofaut hata ule utayari wa kumshirikisha kwenye mipango ya maendeleo unatoweka kabisa..Shida ni kwamba amezoea kufanywa na watu tofauti awezi kutulia uyo, maana km ingekuwa ni mapungufu angechepuka kwa mtu mmoja.....ila si ungekuwa we ndo mume wangu jaman ata usingejua yaaan ngechepuka kwa heshima
Watu wa ivo wanapoteza sana mwelekeo wa maisha hasa ktk mipango yenu, yaan inatesa sana....sure! Mwanamke au mwanaume aliezoea kutokea na watu tofauti tofauti kuacha ni ngumu, labda akutwe na jambo gumu ndo anaeza akajaribu kuacha!! Maana anachukulia kama ni jambo LA kawaida sana. Ila sasa ni bora awe binti au kijana ambaye hajaoa. Ila hili swala linapoingia kwenye ndoa,linakua na sura nyingine kabisa. Maana linaharibu future yoote kabisa, pale unapogundua mwenzio yupo njia tofaut hata ule utayari wa kumshirikisha kwenye mipango ya maendeleo unatoweka kabisa..
Wapendanao wakizinguana shika jembe nenda shamba ohoooo shauri ako shauri taratibu ila usifosi waachaneAchana NAYE
Uta juta huko mbeleni......
Yaani Mwenyezi Mungu tu aturehemuDuh! ndoa hizi Eeh Mungu turehemu sawa na fadhili zako kiasi cha wingi wa Rehema zako uyafute makosa yetu....