Wakuu naombeni mawazo yenu(ushauri)

Wakuu naombeni mawazo yenu(ushauri)

Wakuu naombeni mnisaidie mawazo, maana kuna kipindi mtu unakua kwenye wakati mgumu mpaka unaona kila uamuzi unaoufanya hauko sahihi. Wakuu hapa nilipo nina mke na tuna watoto wawili.

Mwaka 2017 niligundua kua kuna jamaa anatoka na mke wangu, nilipopata taarifa nilijaribu kumuuliza mke wangu kwa kuongea nae taratibu tena kwa busara kabisa ili nipate ukweli kuhusu jambo hilo ila matokeo yake alikuja juu sana na kutishia kua angekunywa Sumu kwa sababu namsingizia mambo ambayo hajayafanya.

Baada ya hali ile kutokea sikuendeleza mjadala ila nikamwambia kama hili jambo lina ukweli basi aache maana litatuharibia familia na huyo bwana anaemdanganya hana malengo yoyote mazuri na yeye zaidi ya kumharibia tu maisha kisha anapotea.

Wakati yote hayo yanaendelea mimi nilikua kazini. Na kazi yenyewe haikua na makazi maalumu. Tulikua tunahamishwa sehemu mbalimbali kulingana na project zinazokuepo. Ila nikiwa mbali nilikua najitahidi kufika nyumbani mara kwa mara, na pia nilimwambia awe huru wakati wowote atakapojisikia kuja nilipo, nimkatie tiketi awe anakuja.

September 2018 nikawa nimefika home ghafla nilipofika nikaingia ndani sijakaa hata dk 5 simu yake ikaita, ilikua sebuleni nikaichukua kuangalia namba nikakuta ni yule jamaa ndo kapiga, nikampa mtoto simu nikamwambia ampelekee mama alikua kwenye ofisi zake hapo hapo nyumbani, sikufuatilia walichoongea.

Kuanzia hapo nikawa namfuatilia na nikagundua kuwa tofauti na huyo Jamaa bado ana mahusiano na jamaa wengine wawili, usiku wake nikambana akanieleza ukweli ni kwamba alikua na mahusiano nao ila ameachana nao tayari. Ila nilichobaini si kweli kua ameachana nao maana nilipokua nafuatilia nilikuta mawasiliano bado yapo japo kila napomuuliza anajitetea sana.

Nilimchukua tukaenda kupima VVU nikakuta Mwenyezi Mungu alimnusuru yupo Safi. Baada ya hapo tukaendelea hivyo hivyo na baadae akapata ujauzito, ila kwa kipindi chote hiki alikua anaficha kweli simu yake, akija ndani anaiacha ofisini na usiku akilala anaizima.

Ila wakati mimba ina miezi 7 nikakuta msg ya yule jamaa wa mwanzo kabisa, akimtaka wakutane, nilimhoji tena huyu mwanamama lakini hakunipa jibu la kueleweka.

Baadae alijifungua salama, sema kwa bahati mbaya au nzuri mtoto ametoka copy ya mama yake, kwa kipindi cha uzazi sikuona mawasiliano yakiendelea. Ila sasa hivi mtoto ana miezi mitano na nimekuta mawasiliano yameanza tena.

Kwa hayo machache wakuu naomba mnisaidie mawazo yenu, maana binafsi bado sijaamua chochote. Na kama kuna swali mniulize tu maana nimejitahidi kufupisha.
Kijan mwenzangu pole Sana .
Nilichogundua ww unawaza kwamba bila mwanamke huyo huwez kuanza maisha .na lazima kila kitu umshirikishe yaan inafikia hatua unagundua kuwa mkeo tena wa ndoa ana uhusiano na watu zaidi ya mmoja (nje ya ndoa )still unavmilia halafu mshikaj anapga simu kwa mkeo namba unaijua halafu unampa mtoto amplekee mke wak aongee na mvujaji wa ndoa yako!!!!(hii natafasiri kwamba unahalalisha mapezi yke kwao .na atakuwa na mabwana zake anasema hata ukipiga simu hawez kuonge lzma anipe mm).kijana mwenzangu UNAKWAMA WAPI?.Hya ndo madhara ya kuwa na uchumba na demu mmoja wa Kwanza na unamuoa huyohyo..au huenda maisha uliyonayo ni kwa nguvu za mwanamke na si ww means kwamba .mkeo ana authority ya kuamua juu yak wew(mamlaka).kijana mwenzangu,HAKUNA HAKI SAWA 50 kwa 50 kat ya mme na mke.Kifupi ni kwamba unavyofikiria kuwa familia kuyumba na hujui utaanzia wapi ndo UJINGA unavyozidi kukupiga .Amini kwamba mke ambay unawez kuwa nae na mambo bado yakaenda yupo.Ni swala la kuamua tu.

Kijana mwenzangu,heb jione ulivyo ss baada ya kusoma comments za watu jitathimin ss.Misemo ya kuponza kama eti NDOA ni kuvumiliana ni ya kupotoshana kabsa. Nachojua mm ndoa ni furaha .

Eti mtoto Hana hatia ntamlea tu mbona umeshindwa kulea wa mdg wak/kaka zak ??.mbna wanakuomba pesa unawaambia Hali ngumu?..mbna ndg zak wana kuomba unasema upepo sio?? Ndo uje ulee mtoto wa jamaa aliyekula mkeo.yaan jamaaa anakupigia mkeo,halafu anamzalisha ,halafu unamlelea ww!!.Daaaaahh WANAUMEEE TUNAKWAMA WAPI???.
Nan aliyeturogaaa?? .Au huenda anasiri nzito Sana juu yako hvyo unaogopa anaweza kuisambaza ??

Lakin kbsa km u rijar braza unatuaibishaa muache maisha yapo tu.Mke mmoja mpka kufa !!!!(kuna warakin ndan ya maneno haya)...Wakat mwngne tuwe na uvumiliv kias na tusome maandiko na kupokea ushaur tukiwa na mawazo nje ya boxxxxxxx..!!!!

Pol na kwa heri braza ila chukua hatua .Hakuna usalit uliovumilika kwa mwanamme labda kwak...
 
Ukiona mwanamke anakusaliti ujue hupendwi,kama hupendwi unabaki kufanya nini?

Huwa sitoi msamaha kwa msaliti hata siku moja!
Hebu achana na huyo kiwembe asee
Thats my girl, i really love your way of seeing things, AS THEY ARE , not AS WE WISH THEM TO BE, hongera sana dada yangu
 
I think you have some very serious mental problems or issues, you stay with someone who you have 100% evedence she is cheating on you, and reason, you are 30yrs, you have started lots of projects together, bla bla bla bla, you are putting material things above INTEGRITY AND CHARACTER mkuu,if your spouse is cheating on you it means SHE LOVES YOU NOT PERIOD. do you want to tell me if those projects you are telling us are making you stick to her if you loose your job, get bankrupt, and loose it all, what will you then be telling us is making you stick to her?????????i dont care even if i am 50years if i cant trust my wife i get her off my life, and do you know what she discusses with those men she cheats you with? mkuu you are sitting on a TICKING TIME BOMB, get out of her life AS SOON AS YOUR MIND CAN CARRY YOU
 
Yani ungeniona hapa nilivyosoma hii comment na the way nimetabasamu sasa!!!😊😊

Asante sana THE SEAL
asante pia, tell them to serve you with cappuccinno , i am caming to foot the bill my sister. unashangaa mwanaume mzima analeta story kaa hii hapa, yaani mtu uko na 100% evidence that she is cheating on you, and yet you came here asking for advice????? dunia kuna mambo
 
Huyu ni wa kuhurumiwa tu, mwanaume kamili sidhani kama anaweza kuvumilia huu ujinga wa mtoa mada.
 
Ndug poleh sana ila hayo yalishanikuta hayo rafiki yangu ila kama hutojali chukua namba za hao jamaa kisha watafute wapeleleze uwafahamu kisha tafuta rafiki yako mmoja nenda muzungumze nao kila mmoja kwa wakati wake kuwa mpole na uliza kwa ukarimu ukihakikisha mtoto sio wako tafathali huyo mama muache itakugarimu....mimi nimepoteza nyumba,gari mbili na sina mke kwa sasa kisa kulea hayo maswala mwache atakuja mwingine tuu.
 
Jamani mambo ya ndoa magumu sana inaonesha umewekeza sana kwa mkeo na yeye kulitambua hilo pia hilo ni tatizo
Umenena vyema mkuu, shida hapo sio jamaa kumuacha huyo mama, shida hapo ni uwekezaji alioufanya na mwanamke, pengine jamaa alikuwa ameweka future yake yote kwa mkewe. Lakini jingine maisha yake na ya watoto baada ya kuachana na mkewe kinampa shida sana au pengine kapenda deadly. Who knows ndoa ni taasisi complicated sana.
Sakayo come this way, ushauri.
 
asante pia, tell them to serve you with cappuccinno , i am caming to foot the bill my sister. unashangaa mwanaume mzima analeta story kaa hii hapa, yaani mtu uko na 100% evidence that she is cheating on you, and yet you came here asking for advice????? dunia kuna mambo

Atasema moyo mashine 😁
 
Uwezekano ni mkubwa tu kuwa mtoto siyo wa kwangu, ila kwa vile yupo kwenye himaya yangu, na mtoto hana hatia yoyote nitamtunza na kumpatia mahitaji yote ya msingi. Ila wa kushughulika nao ni mama pamoja na wakora zake.
Nishawaza sana kumfanyia jamaa undava ila side effect zake pia zinaeza zikanicost na kuniongezea matatizo badala ya kutatua. Ndo maana nikajitahidi kuwa kimya kwa muda japo naumia ili niangalie uwezekano wa kulitatua bila Mimi kuathirika zaidi ya hapa
Ukiona bomba limetoboka na watu wanachota maji. Usianze kugombana na wanaochota maji kwasababu ni wengi na hutawaweza. Utawapiga hawa, kesho wanakuja wengine. Unachotakiwa ni kuziba bomba ili wanaochota maji wasichote. Maana yake
Mkeo ndiyo anamatatizo, kugombana na wagoni wako siyo suluhu. Ukumbuke kuna sheria. Unaweza kuweka mtego na kufumania na sijui utamuua mgoni wako au kumlawiti ila ukumbuke kuna sheria. Utafungwa maisha jela au miaka 3o jela na mkeo ataendelea kugongwa na kuzalishwa. Mpaka utoke jela, mkeo atakuwa ameshazaliwa watoto wengine 2. Mwanamke hata kama ni mke wako akikataa, huwezi kumgonga. Ushahidi unao na huwezi kumuacha. Basi hangaika na mkeo, hakikisha anaanza kukuogopa. Tafuta siku, mpe kichapo ambacho hatakaa akusahau maisha yake yote ila angalia usimvunje mikono au usimpige sehemu hatarishi. Bila kumpiga, ataendelea kukusaliti kila siku
 
Kingsmann,
Nashukuru kwa ushauri mkuu, kuna kipindi niliwaza hivyo ila hata nisiposhiriki nae INA maana ndo itakua hivyo for the rest of my life??

Because I am 30 now. Maana naona kurudishwa nyuma sana, maana nimejenga akiwepo na kuna miradi nimefanya akiwepo na nikampa yeye kuisimamia kutokana na Mimi kuwepo kwa mkaburu. Na pia gharama/muda wa kuanzisha Familia nyingine tena. Maana hapa Future siioni
Better late than never

Huyo hafai umemvumilia saana ila haoneshi kubadilika

Anza upya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom