Naunga mkono hojakweli kila jambo lina mwisho wake.
Wanaume wa aina yake hawapo tena duniani waliishi karne ya kwanza.Una Phd ya uvumilivu hongera
Dah....Kwani Mke Ni nani? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahaha, maamuzi ni juu yake, ila ukweli aambiwe tu, hana mke hapo.
Dah....Kwani Mke Ni nani? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah...hapa ndiyo makosa makubwa yanapoanzia [emoji2960]Kwa mujibu wa maandiko, mke ni msaidizi. Kwa mwanetu, naona mke wake ni beki, anamkaba yeye.