Wakuu naombeni mawazo yenu(ushauri)

Wakuu naombeni mawazo yenu(ushauri)

Wakuu naombeni mnisaidie mawazo, maana kuna kipindi mtu unakua kwenye wakati mgumu mpaka unaona kila uamuzi unaoufanya hauko sahihi. Wakuu hapa nlipo Nina mke na tuna watoto wawili. Mwaka 2017 niligundua kua kuna jamaa anatoka na mke wangu, nilipopata taarifa nilijaribj kumuuliza mke wangu kwa kuongea nae taratibu tena kwa busara kabisa ili nipate ukweli kuhusu jambo hill ila matokeo take alikuja juu sana na kutishia kua angekunywa Sumu kwa sababu namsingizia mambo ambayo hajayafanya. Baada yahali ile kutokea sikuendeleza mjadala ila nikamwambia kama hill jambo lina ukweli basiaache maana litatuharibia familia na huyo bwana anaemdanganya hana Malengo yyte mazuri na yeye zaidi ya kumharibia tu maisha kisha anapotea. Wakati yote hayo yanaendelea Mimi nilikua kazini. Na kazi yenyewe haikua na makazi maalumu. Tulikua tunahamishwa sehemu mbalimbali kulingana na project zinazokuepo. Ila nikiwa Mbali nilikia najitahidi kufika nyumbani Mara kwa Mara, na pia nilimwambia awe huru wakati wowote atakapojisikia kuna nilipo, nimkatie tiketi awe anakuja. September 2018 nikawa nimefika home ghafla nilipofika nikaingia ndani sijakaa hata dk 5 simu yake ikaita, ilikua sebuleni nikaichukua kuangalia naomba nikakuta ni yule jamaa ndo kapiga, nikampa mtoto cm nikamwambia ampelekee mama alikua kwenye Ofc zake hapo hapo nyumbani, sikufuatilia walichoongea. Kuanzia hapo nikawa namfuatilia na nikagundua kuwa tofauti na huyo Jamaa bado ana mahusiano na jamaa wengine wawili, usiku wake nikam bana akanieleza ukweli ni kwamba alikua na mahusiano nao ila ameachana nao tayari. Ila nilichobaini si kweli kua ameachana nao maana nilipokua nafuatilia nilikuta mawasiliano bado yapo japo kila napomuuliza anajitetea sana. Nilimchukua tukaenda kupima VVU nikakuta Mwenyezi Mungu alimnusuru yupo Safi. Baada ya halo tukaendelea hivyo hivyo na baadae akapata ujauzito, ila kwa kipindi chote hiki alikua anaficha kweli cm yake, akija ndani anaiacha ofcn na usiku akilala anaizima. Ila wakati Mimba INA miezi 7 nikakuta Msg ya yule jamaa wa Mwanzo kabisa, akimtaka wakutane, nilimhoji tena huyu mwanamama lakini hakunipa jibu LA kueleweka. Baadae alijifungua salama, sema kwa bahati mbaya au nzuri mtoto ametoka copy ya mama ake, kwa kipindi cha Uzazi sikuona mawasiliano yakiendelea. Ila sasa hivi mtoto ana miezi mi5 na nimekuta mawasiliano yameanza tena. Kwa hayo machache wakuu naomba mnisaidie mawazo yenu, maana binafsi bado sijaamua chochote. Na kama kuna swali mniulize tu maana nimejitahidi kufupisha
angalia mzee mkubwa kaka yangu sikiliza ukiwa mwanaume siku ozte ni kichwa cha familia hii ina maana kwamba wewe ndo unayefikiria future ya maisha ya familia yako na watoto wako ila uamuzi upo mikononi mwako ila kama ningelikuwa wewe mimi ningefuatilia na nikampa evedence kabisa na kumpa talaka kwa sababu watoto mnao mtalea maana manamke ni kiumbe dhaifu amabaye anapumbazwa na vitu vidogo na yuko tayari kutokufikiria future kwa vitu ambavyo havina maana yoyote. Kiufupi huyo hawezi acha ndio tatizo la kucheat mtu awe mwanaume au mwanamke akishaanza huo mchezo kuacha inakuwa ngumu sasa wewe ndio utakuwa muhanga wa maumivu na mwisho utaishia kupata presha au magonjwa na kufa au hata siku shetani akakupitia ukafanya maamuzi ya ovyo ukaishia jela. Ni vema ukwmawmbia akaangalai utsaarabu wa kuisha maana yeye maamuzi keshafanya ya kuwa na mahusiano mengine umebaki wewe na wala hajutii. Be smart fikiri kesho yako , afya yako ,watoto wako na maisha yako ni numu ila inazoeleka. Usipo chukua maamuzi atakuwa anakuzungusha kwenye duara hilo hilo la kusema nimesha achana nao anakaa siku mbili una kuta tena anaomba msamaha huku wewe unazidi kuumia na kuzorota kisaikolojia na kiafya.
 
Mkuu naona umeshindwa kufanya maamuzi mwenyewe.

Basi kama kuna mlezi hapo mzee wa makamo(Mzazi wako wa kiume/mzee yeyote) mshirikishe hili japo najua kabisa majibu yote unayo.

Pia hakikisha malezi kwa watoto yawn bora maana jukumu ni lako kwa sasa.
Mkuu mpaka nakuja kuandika hapa, nilishamfuata mzee mmoja ambaye ndo alikua tegemeo langu ila mwisho wa Siku na yeye aliishia kunisimulia visa vyake, kwamba na yeye aliachana na mke wake kwa mambo kama hata na mbaya zaidi aliekua anashiriki na mke wake ni kiongozi wake wa dini(kiroho)
 
Kwanza nikusifu kwa uvumilivu wa pekee sana, maana ni wanaume wachache sana wenye uvumilivu kama wakwako, binafsi mimi nisingeweza kua na uvumilivu huo ata robo. sasa turudi upande wa tatizo, kwanza ni mawasiliano gani ambayo anawasiliana na uyo jamaa (content na context), mbili ni jitihada gani ulichukua kuweza kuonana ama kuwasiliana na uyo jamaa kama hatua za awali kuweza kudhibiti tatizo, na je ao watu wengine alikua anawasiliana nao nini mpaka ukathibitisha kua amechepuka nao?.Ni onyo ama hatua gani za awali ambazo ulizichukua kuweza kukomesha tabia za mke wako?mme funga Ndo? dini gani? umerishikisha mtu wako wa karibu zaidi na amekushauri vipi? wewe ulikua unataka kuchukua maamuzi gani ili sisi member tukushauri kua ayo maamuzi yapoje.
 
angalia mzee mkubwa kaka yangu sikiliza ukiwa mwanaume siku ozte ni kichwa cha familia hii ina maana kwamba wewe ndo unayefikiria future ya maisha ya familia yako na watoto wako ila uamuzi upo mikononi mwako ila kama ningelikuwa wewe mimi ningefuatilia na nikampa evedence kabisa na kumpa talaka kwa sababu watoto mnao mtalea maana manamke ni kiumbe dhaifu amabaye anapumbazwa na vitu vidogo na yuko tayari kutokufikiria future kwa vitu ambavyo havina maana yoyote. Kiufupi huyo hawezi acha ndio tatizo la kucheat mtu awe mwanaume au mwanamke akishaanza huo mchezo kuacha inakuwa ngumu sasa wewe ndio utakuwa muhanga wa maumivu na mwisho utaishia kupata presha au magonjwa na kufa au hata siku shetani akakupitia ukafanya maamuzi ya ovyo ukaishia jela. Ni vema ukwmawmbia akaangalai utsaarabu wa kuisha maana yeye maamuzi keshafanya ya kuwa na mahusiano mengine umebaki wewe na wala hajutii. Be smart fikiri kesho yako , afya yako ,watoto wako na maisha yako ni numu ila inazoeleka. Usipo chukua maamuzi atakuwa anakuzungusha kwenye duara hilo hilo la kusema nimesha achana nao anakaa siku mbili una kuta tena anaomba msamaha huku wewe unazidi kuumia na kuzorota kisaikolojia na kiafya.
Nashukuru sana kwa mawazo mkuu,
 
Nashukuru kwa ushauri mkuu, kuna kipindi niliwaza hivyo ila hata nisiposhiriki nae INA maana ndo itakua hivyo for the rest of my life?? Because I am 30 now. Maana naona kurudishwa nyuma sana, maana nimejenga akiwepo na kuna miradi nimefanya akiwepo na nikampa yeye kuisimamia kutokana na Mimi kuwepo kwa mkaburu. Na pia gharama/muda wa kuanzisha Familia nyingine tena. Maana hapa Future siioni
Kuanza upya sio tabu la msingi faham unaanzia wapi
 
Mkuu mpaka nakuja kuandika hapa, nilishamfuata mzee mmoja ambaye ndo alikua tegemeo langu ila mwisho wa Siku na yeye aliishia kunisimulia visa vyake, kwamba na yeye aliachana na mke wake kwa mambo kama hata na mbaya zaidi aliekua anashiriki na mke wake ni kiongozi wake wa dini(kiroho)
Siku zote wanaume tunakosea sana. Kumuonesha mwanamke ni mtu wa muhimu sana kwako na huwezi kuishi bila yeye. Anayetakiwa kupigania penzi ni mwanamke na siyo wewe. Ulipogundua anakucheat, ungetafuta mchepuko au uwe na nyumba ndogo kabisa na kumpuuza. Siku zote, watu ambao hawana mapenzi ya kweli ndiyo wanafaidi sana penzi la mwanamke. HAWA WANAWAKE HUTAKIWI KUMPENDA HATA SIKU MOJA, AKIWA NA WEWE AJIONE SIYO CHOCHOTE KWAKO.
 
Nashukuru sana kwa mawazo mkuu,
maisha yako hivo kaka mkubwa na wakati mwingine kukubali kushindwa sio mwisho wa maisha ni mwanzo mzuri wa maisha mengine mapya na wala wewe sio wa kwanza na wala hutakuwa a mwisho cha msingi hanaikia wanao maana wewe ndio mzee wao usitegemee hao anaume wa mkeo watawatunza au watakuwa na kuwajali kama wewe mwenyewe. Nod uanaume mzee kuchukua maamuzi magumu na kutokurudi nyuma ipo siku utajisifia kwa maamuzi haya .
 
Atakuja kukuua kabisa.mwanamke ambae si mwaminifu ni hatari kwa afya yako.yaani ukisafiri unakua huna Aman aisee.Ndo shida ya kuoa wanawake vipotabo kila mtu mke wake.pole ndugu but kaa nae ujaribu kumueleza dunia ilivyo.
Wapi kasema ni kipotabo?
 
Wakuu naombeni mnisaidie mawazo, maana kuna kipindi mtu unakua kwenye wakati mgumu mpaka unaona kila uamuzi unaoufanya hauko sahihi. Wakuu hapa nlipo Nina mke na tuna watoto wawili. Mwaka 2017 niligundua kua kuna jamaa anatoka na mke wangu, nilipopata taarifa nilijaribj kumuuliza mke wangu kwa kuongea nae taratibu tena kwa busara kabisa ili nipate ukweli kuhusu jambo hill ila matokeo take alikuja juu sana na kutishia kua angekunywa Sumu kwa sababu namsingizia mambo ambayo hajayafanya. Baada yahali ile kutokea sikuendeleza mjadala ila nikamwambia kama hill jambo lina ukweli basiaache maana litatuharibia familia na huyo bwana anaemdanganya hana Malengo yyte mazuri na yeye zaidi ya kumharibia tu maisha kisha anapotea. Wakati yote hayo yanaendelea Mimi nilikua kazini. Na kazi yenyewe haikua na makazi maalumu. Tulikua tunahamishwa sehemu mbalimbali kulingana na project zinazokuepo. Ila nikiwa Mbali nilikia najitahidi kufika nyumbani Mara kwa Mara, na pia nilimwambia awe huru wakati wowote atakapojisikia kuna nilipo, nimkatie tiketi awe anakuja. September 2018 nikawa nimefika home ghafla nilipofika nikaingia ndani sijakaa hata dk 5 simu yake ikaita, ilikua sebuleni nikaichukua kuangalia naomba nikakuta ni yule jamaa ndo kapiga, nikampa mtoto cm nikamwambia ampelekee mama alikua kwenye Ofc zake hapo hapo nyumbani, sikufuatilia walichoongea. Kuanzia hapo nikawa namfuatilia na nikagundua kuwa tofauti na huyo Jamaa bado ana mahusiano na jamaa wengine wawili, usiku wake nikam bana akanieleza ukweli ni kwamba alikua na mahusiano nao ila ameachana nao tayari. Ila nilichobaini si kweli kua ameachana nao maana nilipokua nafuatilia nilikuta mawasiliano bado yapo japo kila napomuuliza anajitetea sana. Nilimchukua tukaenda kupima VVU nikakuta Mwenyezi Mungu alimnusuru yupo Safi. Baada ya halo tukaendelea hivyo hivyo na baadae akapata ujauzito, ila kwa kipindi chote hiki alikua anaficha kweli cm yake, akija ndani anaiacha ofcn na usiku akilala anaizima. Ila wakati Mimba INA miezi 7 nikakuta Msg ya yule jamaa wa Mwanzo kabisa, akimtaka wakutane, nilimhoji tena huyu mwanamama lakini hakunipa jibu LA kueleweka. Baadae alijifungua salama, sema kwa bahati mbaya au nzuri mtoto ametoka copy ya mama ake, kwa kipindi cha Uzazi sikuona mawasiliano yakiendelea. Ila sasa hivi mtoto ana miezi mi5 na nimekuta mawasiliano yameanza tena. Kwa hayo machache wakuu naomba mnisaidie mawazo yenu, maana binafsi bado sijaamua chochote. Na kama kuna swali mniulize tu maana nimejitahidi kufupisha
Pole sana binafsi nilikuwa na mke niliyekaa nae mpaka tuka jaliwa kupata mtoto mmoja wa kiume
Ila baadae niligundua alikuwa na mahusiano na mwanaume mwingine nilipo jiridhisha bila shaka nilimuacha.
Ni ngumu mwanamke kuwa na mahusiano inje akaacha haiwezekani.
Achana nae utajiumiza bure fanya maamuzi ya kiume watoto utawalea hata na house girl

Pole sana
 
Ukiona mwanamke anakusaliti ujue hupendwi,kama hupendwi unabaki kufanya nini?

Huwa sitoi msamaha kwa msaliti hata siku moja!
Hebu achana na huyo kiwembe asee
Joanah leo una jinsi gani?

Nakazia msaliti si wa kusamehe.
 
Mtoto sio wako

Usitimue muache akuze watoto Kwanzaa ishi nae kama Dada ako

Mtege jamaa na mtego wakodi wahuni tafuna rinda
 
Kwanza nikusifu kwa uvumilivu wa pekee sana, maana ni wanaume wachache sana wenye uvumilivu kama wakwako, binafsi mimi nisingeweza kua na uvumilivu huo ata robo. sasa turudi upande wa tatizo, kwanza ni mawasiliano gani ambayo anawasiliana na uyo jamaa (content na context), mbili ni jitihada gani ulichukua kuweza kuonana ama kuwasiliana na uyo jamaa kama hatua za awali kuweza kudhibiti tatizo, na je ao watu wengine alikua anawasiliana nao nini mpaka ukathibitisha kua amechepuka nao?.Ni onyo ama hatua gani za awali ambazo ulizichukua kuweza kukomesha tabia za mke wako?mme funga Ndo? dini gani? umerishikisha mtu wako wa karibu zaidi na amekushauri vipi? wewe ulikua unataka kuchukua maamuzi gani ili sisi member tukushauri kua ayo maamuzi yapoje.
1. Nikichoweza kukipata kwenye mawasiliano yao ni call logs, durations za call. Ila contents sijapata kujua. Pia baadhi ye text msgs ambazo Niko na screenshots.
2. Hao jamaa wote niliwapa warning via text msg ambazo pia Niko nazo mpaka sasa. Ila wanaonekana kuignore maana sikupata response na nikijaribu kupiga hawashiki. Ila sijawakazia sana maana wanaume mkishaelekezana jambo Mara moja kama ni waelewa mtaelewana, ila kama sio waelewa ndo inabidi kuchukua maamuzi Mengine.
3. Uthibitisho kua alichepuka nao nimeupata alinipatia yeye mwenyewe ndo akanambia wameachana. Na kuna mmoja wapo nilithibitisha pia kupitia cm yake kwani nilikuta Picha ambayo Back ground yake ni mazingira ya Lodge, ( kioo & sinc kwa wash room) na TV ya kubadikwa ukutani zile wanawekea cage na kufuli)
4. Nilijaribu kumshirikisha Mzee mmoja hivi akaishia kunanipa Pole, akanambia wanawake hawaeleweki, nilimshirikisha pia Dada ake ila nikaona kama Dada ake pia anagwaya kum face mdogo ake. Japo Lengo langu kumshirikisha ilikua ni kujuza au kupata mwakilishi wa upande wao juu ya Yale yanayoendelea ili Siku nikijafanya maamuzi isionekane kama suprize.
5.Binafsi nimewaza kuachana na huyu Mwanamke japo naumia sana kuona familia yangu inasambaratika, Maana sijajua Maisha ya watoto baada ya hapo yatakuaje japo mahitaji nitakua nawapa lakini Malezi. Maana mmoja ako na 5yrs, na wa pili 5months.

NB:
Kwa mtizamo wangu pia naona kutawanya familia yangu, alafu bado naendelea kuonana na walionivunjia Familia bila kuwachukulia hatua yyte maumivu yanaendelea kuwa pale pale tena yanaongezeka kula napowaona, japo wanafanya kunikwepa kwepa. Ila ni Disciplinary action gani nitachukua dhidi yao bila kuniletea athari bado nawaza na sijapata majibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom