This is another confusion! kwahiyo mtu akiwa hajabatizwa ni makosa ya nani? yake yeye au wazazi wake? either way unachosema kinamaanisha bila ubatizo huyu mtu bado hana roho mtakatifu ndani yake. Sasa kama mtoto hakubatizwa atakae adhibiwa ni nani? yeye mwenyewe au wazazi wake? na yeye kwa kukosa roho mtakatifu ndani yako kutokana na kutobatizwa akaendelea kutobatiza kizazi chake, nani ataadhiwa kwa upotovu wa hiki kizazi pia?Nafsi ni ile sehemu ambayo ina ufahamu wamtu mwenyewe au kiini cha ubinafsi wa mtu. Kazi yake ni:
- Kufikiri – Kutafakari, kuona
-Hisia – Kujisikia kuwa na tamaa na Upendo
-Utashi – Nia, Kuamua.
Roho ni ile sehemu ya mtu yenye ufahamu wa Mungu, ambayo hufanywa hai na hutiwa nguvu na Roho wa Mungu wakati wa Wokovu. Kabla ya mtu Kuokoka, sehemu hii, haifanyi kazi kwa utimilifu kabisa kwa sababu ya dhambi. Dhambi huifanya kuondolewa nguvu ya kutenda kazi sawa sawa, kwa Amani na Roho ya Mungu. Lakini kupitia Ubatizo wa Roho Mtakatifu, mwanadamu hupokea nguvu ya kiroho, inayomwezesha kuishi maisha ya Kristo. Roho inahusika na:-
-Maombi na Ibada na Mungu,-Ushirika na Mungu, -Mapokezi ya karama za Roho,
-Vita vya kiroho,-Kuunda Mawazo na Ndoto,-Dhamira, Kupambanua,-Udadisi, Kuuliza,-Ufahamu, Kutafsiri.